Matamasha yote yangekua na kiingilio rahisi na bure,watanzania tungeongoza kuwa taifa lenye furaha zaidi duniani

Dar bwana yaani mmekosa show ya uhuru mkaamua mkamalizie uchungu fiesta haahah zamu yenu na nyie kuangalia sherehe za uhuru azam tv
 
baadae wasanii wasilie njaa tu
 
pole sana unavamia maandishi bila kufikirisha ubongo.....pole sana
 
hebu ngoja kwanza nilale labda asubuh naweza kuelewa ulichokiandika.....!!
 
Dar bwana yaani mmekosa show ya uhuru mkaamua mkamalizie uchungu fiesta haahah zamu yenu na nyie kuangalia sherehe za uhuru azam tv
Hata waliokuwa wanajazana pale Shamba la Bibi kwenye hizo sherehe ni Wasukuma, kwahiyo kilichofanyika kwa sasa ni kuwapatia "raha" Wasukuma walio Kanda ya Ziwa, na wa Dar es salaam waanze kufuatilia kupitia TV!
 
Jamaa anazan kuwa wa kishua ni zambi wakati ni maisha tu watu tumezaliwa tumekuta wazazi wetu wametujengea majumba na kutununulia magari ya kifahari.

Sasa sisi tuyakatae ili iweje

Kuna baadhi ya watu huwa wanachekesha sana
[emoji2]
 
Kesho tutamsikia Mkurugenzi wa clouds kwenye The bartender #wasafi media

Tutajua tu
 
Wewe ULIINGIZWA BURE?...bwa muandishi
 
Kweli KALAGABAHO.
Yaani unaingia bure na vibaka wanakuibia simu na pesa yako wanafunga njia unashindwa kutoka na gari au wanakuibia power window.. hapo furaha inaongezeka vipi? .. labda kama lengo ni kuongeza furaha za wahuni
 
Kweli mdau me nilikuwepo fiesta imezingua sana, nilivyotarajia sivyo kabisa. Japo ni fans mkubwa wa clouds
 
Kweli mdau me nilikuwepo fiesta imezingua sana, nilivyotarajia sivyo kabisa. Japo ni fans mkubwa wa clouds
Tupe mrejesho mkuu, mana mtaani na Instagram kamba Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…