Kabla ya October 29, 2015 watawala haramu walikuwa na kauli za kuwadhalilisha wananchi wa nchi hii. Hadi vimkuu vya wilaya vilikuwa na majivuno na kauli za kuwakejeli wananchi. Mara ooh kama hujui kufa andamana, mara ooh inabidi uandae kabisa kaburi lako, mara hakuna cha nywinywinywi. Chalamila na kile kijinga kimkuu cha mkoa wa Iringa walikuwa wanashindana kuja na misamiati mipya ya kuwakejeli na kuwaudhi wenyenchi.
Lakini October 29 imetuma salamu kwa watawala wapumbavu wasiotambua nafasi zao zimewekwa na wananchi. Sasa hivi wote kimya, wameshika adabu. Jabo bado bi chura somo halijamwingia vizuri maana bado anaendelea kuwachamba wananchi kwa kuwashikia kiuno na kuwabetulia midomo, ila muda si mrefu akili itamkaa sawa maana siku zake za kuishi uraiani zinahesabika.