Marehemu alichoifanya hii nchi ni janga zito, aliilawiti nchi. Mama Samia asilaumiwe kabisa maana anakazi nzito ya kusafisha kinyesi cha marehemu, na itamchukua miaka 5 kukisafisha kinyesi cha Marehemu.
Miezi miwili iliopita, Marehemu alikua akihubiri na kujitapa hakuna ufisadi chini ya utawala wake, ila baada ya kufa tu ndani ya week moja kuapishwa Mama Samia, CAG aliweka wazi ufisadi wa kiwango cha SGR uliofanyika.
Mpaka leo inatafuta Mikataba ya kununua ndege, stiegler's na SGR haijulikani ilipofichwa na Marehemu. Marehemu kasepa na kibubu cha taifa kuzimu.
Ukiendelea kuamini au kusubiri matamko ya viongozi wa nchi hii, utakuwa mwehu, na imekula kwako. Fanya mishe upeleke mkono kinywani tu.