Hata hospital Dokta akijua mgonjwa wako atakufa hivi karibuni haachi kuwaambia muendelee kumpatia dawa zake, wakati mwingine anawaandikia rufaa kwenda hospital kubwa zaidi ingawaje anajua mgonjwa anakufa. Na hao wanaotoa vitisho nawafananisha na Dokta.Naona kila mmoja wa polisi anatoa vitisho kama vya 29.10.
Kwahiyo mnajiandaa na genocide nyingine?
Cc Larry Madowo elekeza satellite zote Tanzania nzima for uncontroverted evidence
Mfano mwema kabisaHata hospital Dokta akijua mgonjwa wako atakufa hivi karibuni haachi kuwaambia muendelee kumpatia dawa zake, wakati mwingine anawaandikia rufaa kwenda hospital kubwa zaidi ingawaje anajua mgonjwa anakufa. Na hao wanaotoa vitisho nawafananisha na Dokta.