Hata hospital Dokta akijua mgonjwa wako atakufa hivi karibuni haachi kuwaambia muendelee kumpatia dawa zake, wakati mwingine anawaandikia rufaa kwenda hospital kubwa zaidi ingawaje anajua mgonjwa anakufa. Na hao wanaotoa vitisho nawafananisha na Dokta.