Singo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,204
- 1,143
neno question - tunatamka kweshen badala ya kwes'chen
'' consumer - '' konshuma badala ya konsyuma
'' producer - '' prodyuza badala ya prodyusa
'' assume - '' ashum badala ya asum au asyum
'' every - '' evere " evri
hayo ni maneno machache katika mengi ambayo nimeshuhudia yakiendelea kukosewa siku hadi siku hadi na walimu wa lugha husika.Mimi nilikua mmoja wa waathirika tokana na aina ya shule nilizosoma ,japo namshukuru Mungu baada ya kufika A level nilisoma Kiingereza katika Combination yangu na kusoma topic ya phonology inayohusisha matamshi ya lugha na kanuni zake ndipo nikagundua nilipokua nakosea na wengine wengi wamekua wakikosea.
Mwenye uelewa wa maneno mengine ya english ambayo ameyasikia yakikosewa na wa Tz ni vyema ayaweke ili tuboreshe lugha kidogo kimatamshi angalau.