Singo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,204
- 1,143
- Thread starter
- #21
hizo tofauti za kijografia zaweza tofautisha matamshi ya lugha kama ilivyo hata hapa Tanzania , kuna standard English ambayo hutumika kwenye Oxford Advanced Learners Dictionary na lugha hiyo inatoa mwongozo wa matamshi kifonoljia na pia inatofautisha neno kwa matamshi ya Kimarekani na Uingerezakingereza cha jiji la liverpool na cha london matamshi yao kwenye neno moja pia hutofautiana,sijui hapo tunaliweka vp suala hili