matamshi kiinglish tunayakosea kwa kurithishana

matamshi kiinglish tunayakosea kwa kurithishana

matamshi mabaya ya kiingereza yanazidi kuenezwa n wakenya:

Happy wanasema "hapi" badala ya "hepi". Kuna kipindi cha watato nadhani itv utakuta watoto wanaimba "hapi bathdei"

wakenya bwana first wanatamka"fast". Firm "fam". Early "ali". Third "thad".
 
  • Thanks
Reactions: KVM
neno question - tunatamka kweshen badala ya kwes'chen
'' consumer - '' konshuma
badala ya konsyuma
'' producer - '' prodyuza badala ya prodyusa
'' assume - '' ashum
badala ya asum au asyum
'' every - '' evere " evri

hayo ni maneno machache katika mengi ambayo nimeshuhudia yakiendelea kukosewa siku hadi siku hadi na walimu wa lugha husika.Mimi nilikua mmoja wa waathirika tokana na aina ya shule nilizosoma ,japo namshukuru Mungu baada ya kufika A level nilisoma Kiingereza katika Combination yangu na kusoma topic ya phonology inayohusisha matamshi ya lugha na kanuni zake ndipo nikagundua nilipokua nakosea na wengine wengi wamekua wakikosea.

Mwenye uelewa wa maneno mengine ya english ambayo ameyasikia yakikosewa na wa Tz ni vyema ayaweke ili tuboreshe lugha kidogo kimatamshi angalau.

Unapokosea ni pale unapochanganya phonetic sound ukitaka matamshi ya kawaida kwenye jamii yafuate mfumo huo.mf.question kwenye jamii ni kwesheni,ila kwenye kamus ni kwes chen.kwa sabb za phonetic system.ambayo theorz yake inasema kuwa these sound are universal not brought by anz language"so unapotaka jamii itamke maneno kwa mtindo wa phonetic sound unakuwa unakosea wewe na wala sio jamii.nadhan umenipata.
 
Kuna aina fulani ya gari huwa nasikia sana watu wakiitamka bdivyo sivyo..
Rav 4- "rava fo" badala ya "Rav fo"
 
Eighty waswahili jutamka "eite" lakini sahihi ni "eiti"
Sixty waswahili hutamka "siste" lakini sahihi ni "siksti"
 
Unapokosea ni pale unapochanganya phonetic sound ukitaka matamshi ya kawaida kwenye jamii yafuate mfumo huo.mf.question kwenye jamii ni kwesheni,ila kwenye kamus ni kwes chen.kwa sabb za phonetic system.ambayo theorz yake inasema kuwa these sound are universal not brought by anz language"so unapotaka jamii itamke maneno kwa mtindo wa phonetic sound unakuwa unakosea wewe na wala sio jamii.nadhan umenipata.
kabla ya kuandika nilifanya tafiti ya jinsi yanavyotamkwa, seacrch google na kupitia youtube utapata majibu, nasisitiza haitamkwi kwesheni kama unavyodhani.nakushauri uwe unafanya tafiti angalau kidogo kabla ya kupinga ili mwisho wa siku usijeonekana....
 
Kwa watalamu wa lugha wataelewa haya....kuna matamshi yafuatayo katika lugha ya kiingereza
1: Acquired Pronounciation (e.g Nigeria)
2: Received Pronounciation (e.g Royal family,BBC and Highly educated english people)
3: Accepted pronounciation ( e.g Cat and Cut to Tanzanians)
4: American Accent (Americans)
5: Standard English.....American and RP accepted pronounciation.
 
kabla ya kuandika nilifanya tafiti ya jinsi yanavyotamkwa, seacrch google na kupitia youtube utapata majibu, nasisitiza haitamkwi kwesheni kama unavyodhani.nakushauri uwe unafanya tafiti angalau kidogo kabla ya kupinga ili mwisho wa siku usijeonekana....

Inatamkwa "kwestn"
 
Back
Top Bottom