hizo tofauti za kijografia zaweza tofautisha matamshi ya lugha kama ilivyo hata hapa Tanzania , kuna standard English ambayo hutumika kwenye Oxford Advanced Learners Dictionary na lugha hiyo inatoa mwongozo wa matamshi kifonoljia na pia inatofautisha neno kwa matamshi ya Kimarekani na Uingerezakingereza cha jiji la liverpool na cha london matamshi yao kwenye neno moja pia hutofautiana,sijui hapo tunaliweka vp suala hili
nadhani hata wewe hujatuambia 'birthday' inatamkwaje kwa usahihi!
hizo tofauti za kijografia
zaweza tofautisha matamshi ya lugha kama ilivyo hata hapa Tanzania ,
kuna standard English ambayo hutumika kwenye Oxford Advanced Learners
Dictionary na lugha hiyo inatoa mwongozo wa matamshi kifonoljia na pia
inatofautisha neno kwa matamshi ya Kimarekani na Uingereza
mi naona hyo kitu kuiepuka kabisa ni ngumu mno,ingekuwa tatizo labda kama matamshi hayo yanaleta maana nyingne zaidi kiasi cha kuhatarisha uelewano wa mazungumzo hayo
Unajua kuwa hata shule tumeliazima kwenye Kijerumani?
Shule kwa Kijerumani ni schule.
SKULI ni kizanzibar
Kwa mujibu wa dictionary debt inaandikwa det hivyo' b' kutosikika kabisa! kiukweli baada ya kuchunguza maneno mengi ya kiinglish unaweza jihurumia jinsi tunavyokosea
Kwa mashabiki wenzangu wa mpira,,, neno possesion lina tofauti kubwa na position!! Ila ki boli boli mnaweza shikana mashati,Ee bwana eeh!tatizo ni boli position bwana,ukimwambia amekosea 90% wanakushangaa.
neno question - tunatamka kweshen badala ya kwes'shen
'' consumer - '' konshuma badala ya konsyuma
'' producer - '' prodyuza badala ya prodyusa
'' assume - '' ashum badala ya asum au asyum
'' every - '' evere " evri
hayo ni maneno machache katika mengi ambayo nimeshuhudia yakiendelea kukosewa siku hadi siku hadi na walimu wa lugha husika.Mimi nilikua mmoja wa waathirika tokana na aina ya shule nilizosoma ,japo namshukuru Mungu baada ya kufika A level nilisoma Kiingereza katika Combination yangu na kusoma topic ya phonology inayohusisha matamshi ya lugha na kanuni zake ndipo nikagundua nilipokua nakosea na wengine wengi wamekua wakikosea.
Mwenye uelewa wa maneno mengine ya english ambayo ameyasikia yakikosewa na wa Tz ni vyema ayaweke ili tuboreshe lugha kidogo kimatamshi angalau.
vipi kuhusu chwingam Chewing gum or Bubble Gum ,Banzooka
Wengi husema ni Deep! nitakupigia instead ku beep
kudeep ni kupibu mara moja tu
Unajua kuwa hata shule tumeliazima kwenye Kijerumani?
Shule kwa Kijerumani ni schule.
Liverpool wanaitamkaje "birthday" na London wanaitamkaje "birthday"?
leo hii mbongo ushuke
LIVERPOOL toka tanzania,hata uwe prof wa english bongo,hauwezi sikia
neno-it will take u a couple of days kuwaelewa hawa jamaa