matamshi mabaya ya kiingereza yanazidi kuenezwa n wakenya:
Happy wanasema "hapi" badala ya "hepi". Kuna kipindi cha watato nadhani itv utakuta watoto wanaimba "hapi bathdei"
neno question - tunatamka kweshen badala ya kwes'chen
'' consumer - '' konshuma badala ya konsyuma
'' producer - '' prodyuza badala ya prodyusa
'' assume - '' ashum badala ya asum au asyum
'' every - '' evere " evri
hayo ni maneno machache katika mengi ambayo nimeshuhudia yakiendelea kukosewa siku hadi siku hadi na walimu wa lugha husika.Mimi nilikua mmoja wa waathirika tokana na aina ya shule nilizosoma ,japo namshukuru Mungu baada ya kufika A level nilisoma Kiingereza katika Combination yangu na kusoma topic ya phonology inayohusisha matamshi ya lugha na kanuni zake ndipo nikagundua nilipokua nakosea na wengine wengi wamekua wakikosea.
Mwenye uelewa wa maneno mengine ya english ambayo ameyasikia yakikosewa na wa Tz ni vyema ayaweke ili tuboreshe lugha kidogo kimatamshi angalau.
kabla ya kuandika nilifanya tafiti ya jinsi yanavyotamkwa, seacrch google na kupitia youtube utapata majibu, nasisitiza haitamkwi kwesheni kama unavyodhani.nakushauri uwe unafanya tafiti angalau kidogo kabla ya kupinga ili mwisho wa siku usijeonekana....Unapokosea ni pale unapochanganya phonetic sound ukitaka matamshi ya kawaida kwenye jamii yafuate mfumo huo.mf.question kwenye jamii ni kwesheni,ila kwenye kamus ni kwes chen.kwa sabb za phonetic system.ambayo theorz yake inasema kuwa these sound are universal not brought by anz language"so unapotaka jamii itamke maneno kwa mtindo wa phonetic sound unakuwa unakosea wewe na wala sio jamii.nadhan umenipata.
kabla ya kuandika nilifanya tafiti ya jinsi yanavyotamkwa, seacrch google na kupitia youtube utapata majibu, nasisitiza haitamkwi kwesheni kama unavyodhani.nakushauri uwe unafanya tafiti angalau kidogo kabla ya kupinga ili mwisho wa siku usijeonekana....