Matamshi ya Mzee Yusufu Makamba yasiyo na busara, yameiadhiri CCM kwa kiasi fulani!

Kwa hiyo unaamini kabisa kwamba aliongea tu out of nowhere?

Methali 23:7
maana aonavyo moyoni mwake, ndivyo alivyo, …

these people are evil, wala usijaribu kutaka kuelezea chochote, wamejianika for everyone to see, na watu wameona na kusikia kwa masikio yao!
 
Siku nyingi nilishampiga chini.
Mbele ya JK alisema ukifuga mbwa asipobweka utaweka mwenyewe.

Eti Askofu Kweka alimnyima uinyilisti wakati anastahili.

Anatafuta sifa kwa kunukuu mistari ya Biblia huku haamini wala kuitenda.
 
makamba hakuteleza ulimi na mama Samia analijua hilo

Kuongezea maneno “ndio maana Jakaya na Kinana wapo…” ni dhahiri alikusudia pasi na shaka kufikisha ujumbe huo
Fikra zetu zimefanana katika hili.

Hii mbegu wamepanda, uhakika watavuna.
 
Siku nyingi nilishampiga chini.
Mbele ya JK alisema ikifunga mbwa asipobweka utaweka mwenyewe.

Eti Askofu Kweka alimnyima uinyilisti wakati anastahili.

Anatafuta sifa kwa kunukuu mistari ya Biblia huku haamini wala kuitenda.
Anafaa kuwa mpiga porojo tu.
 
Siyo kila babu mzee anabusara wengine walikuwa wahuni tu toka ujanani mpaka uzeeni, kubadilisha tabia mtu ni ngumu sana.
 

Attachments

  • Screenshot_20221209-092501.png
    300.6 KB · Views: 3
Chawa kijana.
Chawa Mzee..

InshaAllah tumuombe Mungu atupe mwisho mzuri na tujikite kufanya toba kwenye uzee wetu..
 
..lakini kauli ya Mzee Makamba ina afadhali ukilinganisha na matusi ambayo Magufuli amewahi kuyatoa ktk mikutano mbalimbali.
Mwenzako keshatangulia mbele ya haki wewe uko bado tu unabwabwaja pumba zako. Muda wako nao utafika hata ujifanye mjuaji kiasi gani.
 
Pia pamoja na kauli ya rais Samia kumuombea radhi haitoshi,watu mkutanoni wameondoka na donge kadhalika watanzania kwa ujumla wamehudhunika wapo ambao hawawezi samehe kauli hiyo.
Kifupi ujuaji mwingi mbele giza

Sukuma gang ndio imewauma sana. Lakini kutokana na siasa za kishenzi mlizoendesha chini ya dhalimu acha tu mpewe shombo tu.
 
..lakini kauli ya Mzee Makamba ina afadhali ukilinganisha na matusi ambayo Magufuli amewahi kuyatoa ktk mikutano mbalimbali.

Uko sahihi, Magufuli alikuwa bonge la mropaki aliyefumbiwa macho kutokana na kiburi chake cha madaraka.
 
KKwe
Kweli kachafua brand ya chama,inahitajika juhudi za maksudi kurekebisha kauli ya huyu mzee haraka sana kwa faida ya chama.kidumu chama cha mapinduzi
 
Ukweli ni kwamba CCM wanawadharau sana Watanzania kwa sababu wanajua hawawezi kuwafanya chochote. Ndiyo maana wanawaita wanyonge na Watanzania wenyewe wanakubali kuitwa wanyonge. Ukimkasirisha mtu aliyekwisha kudharau, tegemea matusi na kejeli za kila aina.
 
Tunaishi kwa matukio sana leo kla uzi ni Makamba wacha kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…