Matamshi ya Mzee Yusufu Makamba yasiyo na busara, yameiadhiri CCM kwa kiasi fulani!

Busara ni kitu cha bure.

Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyo Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye maonyo, yatokanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.

Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!

That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika

CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wai ni Yusufu Makamba, Kapteni mstaafu.

Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.

Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Alitakia kukemea na si kusahihisha tu, na hao waliokuwa wamemtolea mapovu Bashiru wako wapi? huu si ndio undumila kuwili, hawa akina kibajaji, musukuma, kingwangwala na akina shaka, kihongosi mbona hatukuwasikia hawa nimewaandika majina yao kwa kuanzia kwa herufi ndogo kuonyesha kuwa nawadharau kwa undumila kuwili kwao, AIBU KWAO pia kwa wajumbe wa mkutano kuu kwa kushindwa kumkaripia Makamba na wakabaki kukenua mimeno.
 
Jidu,
Lisemwalo kwa nanma hii husemwa uchochoroni wakikutana wao kwa wao; huyu mzee ni kibri yake tu; anapima maji. Ni kweli ametapika chumvi ambayo iko moyoni kwake. Kurudi kubisha si rahisi.

Wewe unafikiri Samia siyo accomplice; she is one of the culprits !!

Go tell it to birds​

Na wala hakukurupuka huyu mzee nakubaliana nawe kabisa kuwa hayo aliyoyasema tayari walishaambiana na walamba asali wenzake kuwa akachafua hali ya hewa na hakuna wa kumfanya lolote kwani wapo nyuma yake, huyu mzee alishaanza na kauli za kulamba asali, na sasa anaendelea na wazuri hawafi, kwanini Kikwete na Kinana watajwe na wao wakae kimya?
 
Busara ni kitu cha bure.

Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyo Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye maonyo, yatokanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.

Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!

That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika

CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wai ni Yusufu Makamba, Kapteni mstaafu.

Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.

Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Makamba na timu yake wameifanya CCM SACCOS yao, wanafanya watakavyo!
 
... miaka yote Luteni (sio Kapteni) YM pamoja na quotes nyingi za vitabu vitakatifu haijawahi kuwa na busara kabisa. Hubwatukabwatuka ovyo kama mwendazake.
Sasa unaona nikazima kale kazee, nina wasiwasi huko nyumbani kwake katakuwa kasangoma kabisa kanapiga tunguri.
 
Ukiwa karibu na yule mzee utatamani kukimbia. Anaongea matusi yule acha
 
Busara ni kitu cha bure.

Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyo Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye maonyo, yatokanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.

Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!

That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika

CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wao ni Yusufu Makamba, Luteni mstaafu.

Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa, chini ya aliyekuwa Katibu Mkuu wakati huo, Yusufu Makamba.

Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Makamba Y. Alikosea Kabla hivyo alichokisema hakikutoka moyoni, Kwasababu asingerekebisha kauli yake angeeleweka vibaya( Kwahiyo, hiyo ni kauli ya kutoeleweka vibaya).
Hatahivyo, mtu mwema huwa hafi ni Maelezo ambayo yapo katika maandiko matakatifu( Yeyote anayemwamini YESU KRISTO hatakufa). Kumwamini YESU maana yake ni kuishi kwa kufuata AMRI ZA MUNGU kama zilivyoelezwa na BWANA YESU.
Kwahiyo, mtu mwema huwa hafi ni SAHIHI KABISA ( Issue ni kuwa, Je aliyezungumziwa kuwa mwema,Je mwema?, Hayo ni maoni yake MAKAMBA, Kwasababu Mimi sina uwezo wa kumtambua mtu mwema).
 
.... matamshi yake yalikaa kimwili na sio kiroho. Hapa unazungmzia kifo cha kiroho, yeye alizungumzia kifo cha kimwili ndio maana alitolea mifano baadhi ambao bado wapo kimwili.
 
Back
Top Bottom