BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Mpo mmesimama pamoja kwa wapi? Je, mmekumbatiana au mmepeana nafasi? Hamskii joto kusimama pamoja?Mimi nasimama na Makamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpo mmesimama pamoja kwa wapi? Je, mmekumbatiana au mmepeana nafasi? Hamskii joto kusimama pamoja?Mimi nasimama na Makamba
MarhabaaaJidu,
Lisemwalo kwa nanma hii husemwa uchochoroni wakikutana wao kwa wao; huyu mzee ni kibri yake tu; anapima maji. Ni kweli ametapika chumvi ambayo iko moyoni kwake. Kurudi kubisha si rahisi.
Wewe unafikiri Samia siyo accomplice; she is one of the culprits !!
Go tell it to birds
Busara ni kusema nini na wakati gani, na nini kinachokusudiwa.Jidu La Mabambasi Mzee Makamba kwa uhakika kabisa kasema kile ambacho yeye na kundi lake akina Kikwete, Kinana, Nape, January, Membe na Rais Samia huwa wanazungumza kwenye vikao vyao. Mzee kaweka historia ambayo haitakuja kufutika kabisa kamwe. Ila siku akifa msiba wake watu watataka kujua kama kafa kweli maana yeye ni mtu mzuri na hawezi kufa au siku akifa kinana au JK watu watamkumbusha kuwa wale wazuri nao wamekufa. Yaani nilichojifunza aisee ukimya ni hekima moja ya juu sana.
Sio kabla ya kuongea bali asipewe tena maiki!Busara ni kitu cha bure.
Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyi Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye mainyi, yatikanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.
Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!
That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika
CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wai ni Yusufu Makamba, Kapteni mstaafu.
Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.
Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Acha mikwara.....hayo yashapita tayariTulia kijana hutoamini kitatokea. Mzee amelitafuta asilo lijuwa nilidhani kwa kukaa kwake jeshini anajuwa silence war ila ametoka nje ya mstari.
Hiki chama kimebaki cha wajinga tu.Nashangaa kuna watu wanajaribu kumtetea Mzee Makamba kwa ile kauli yake aliyoitoa jana.
Ukweli ni kwamba, kwa ile kauli aliyoitoa ya "watu wazuri huwa hawafi" katikati ya uwepo wa wajane, alikosea, tena alikosea sana.
Ndio maana Samia kwa kutambua hilo, akaomba radhi kwa niaba ya Mzee Makamba, akitamka pale ukumbini anajua hakuna ambaye hajafiwa na ndugu yake.
Hapa hakuna habari ya kuleta siasa au vinginevyo, Makamba alikosea anastahili kuambiwa ukweli ili ajirekebishe, na asitetewe kwa sababu zozote zisizo na mashiko.
Wakati nakusoma kabla ya kufikia kwenye mstari huu, nilikuwa nataka kuuliza swali linalohusiana na mstari huo: kwamba, Yusuf amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama, je, huko kukosa busara kulianza lini?Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.
Kwani mkutano wote ule wewe ulisikia busara gani kama wote haukuwa umejaa pumba tupu. Ulimsikia mtu yeyote akizungumza kuhusu sera za kuiendeleza nchi zaidi ya kupambiana kuhusu urais tu?Busara ni kitu cha bure.
Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyi Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye mainyi, yatikanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.
Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!
That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika
CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wai ni Yusufu Makamba, Kapteni mstaafu.
Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.
Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Ni vigumu kusamehe maneno ya kishenzi kama hayo.Pia pamoja na kauli ya rais Samia kumuombea radhi haitoshi,watu mkutanoni wameondoka na donge kadhalika watanzania kwa ujumla wamehudhunika wapo ambao hawawezi samehe kauli hiyo.
Kifupi ujuaji mwingi mbele giza
yanaiadhiri ccm vipi kwani huo ni msimamo wa ccm?Busara ni kitu cha bure.
Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyi Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye mainyi, yatikanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.
Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!
That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika
CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wai ni Yusufu Makamba, Kapteni mstaafu.
Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.
Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Noted.Hiki chama kimebaki cha wajinga tu.
Wanatanguliza njaa/tamaa kuliko utu.
Mbona aliyekuwa kiongozi wa chama Philip Mangula akulopoka
Makamba + kikwete waache Ubinafsi
HEKIMA 10.
Hekima 1
Unaweza kuwa kiongozi mzuri bila kuanika madhaifu ya mtangulizi wako Rekebisha kwa kadri unavyoweza matendo yatasema yenyewe.
Hekima 2
Unaweza kueneza Imani yako bila kuisema vibaya Imani ya watu wengine. Elezea uzuri wa imani yako wakivutiwa watakuja wenyewe.
Hekima 3
Usitafute mafanikio kwa kumkosesha mwingine. Dunia haijawahi kuishiwa kitu cha kumhudumia kila mtu kwa sababu hata mwenye vingi akiondoka anaacha vyote.
Hekima 4
Mchawi akija kwako bila kuonekana usimuangamize kwa kuonekana. Ukifanya hivyo wewe ndio utakuwa mhalifu na yeye mwenye haki.
Hekima 5
Usifikiri kuwa, kile unachokijua ndio usahihi wa maisha ya watu. Binadamu wote ni wanafunzi siku zote mpaka wanapoondoka Duniani.
Hekima 6
Mama yako akikuficha Baba usimlaumu. Alichokibeba anajua akikishusha kwako huwezi kustahimili.
Hekima 7.
Ukipata nafasi ya kuongea, ongea machache. Hakuna mwenye maneno mengi yakakosa hila ndani yake.
Hekima 8
Usiifanye pesa ichukue nafasi ya uwepo wako katika matukio ya kijamii. Kuna siku jamii itatuma pesa kwenye tukio lako bila uwepo wake.
Hekima 9
Usipakue chakula kingi kwa sababu ya hisia za njaa kubwa. Ni heri kuongeza kuliko kubakiza na kutupa.
Hekima 10
Kila unapopanda ngazi ya maisha waheshimu unaowaacha chini. Hao ndio watakupokea wakati unashuka.
Kumpa uwanja wa kuongea mtu aliyepungukiwa busara, wewe uliyempa uwanja wa kuongea huna tofauti na aliyoyaongea.yanaiadhiri ccm vipi kwani huo ni msimamo wa ccm?
Kwani mkutano wote ule wewe ulosikia busara gani kama wote haukuwa umejaa pum,bna tupu. Ulmsikia mtu yoyte akizungumza kuhusu sera za kuiendeleza nchi zaidi ya kupambiana kuhusu urais tu?
Makamba alieshasema kuwa mtoto wake lazima awe waziri na kweli ikawa hivyo, sasa hivi anasema atakuwa rais tu hata kama anaongea pumba.
Makamba huyu ndiyo aliyekuwa ameiua kabisa CCM ikawa inazomewa mitaani, sasa hivi wanajitutumua baada ya heshima ya CCM kuwa imerudi na wako mbioni kuibomoa tena kwa pumba kama hizi. Hata Kikwete mwenye alisimamama akaongea pumba tupu.
Huko CCM ya sasa busara za naman hii hazipo tena.
Mkuu uko sawa, mimi mwana CCM, kada.Wakati nakusoma kabla ya kufikia kwenye mstari huu, nilikuwa nataka kuuliza swali linalohusiana na mstari huo: kwamba, Yusuf amewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama, je, huko kukosa busara kulianza lini?
Lakini mkuu 'Jidu', wewe na mimi tunaelewana sana kutokana na maandiko yetu humu JF kwa muda kitambo sasa, na hasa kuhusiana na swala hilo hilo la chama hiki ambacho mara zote hujitambulisha kuwa wewe ni mmoja kati yao.
Swali langu siku zote limekuwa ni lile lile kwako: hivi hii CCM unayojivunia kuwa mwanachama wake, ni kipi hasa kinachoendelea kukuvutia wewe, hata bila ya kuwafikiria akina Yusuf, kwa sababu najua wapo wengi sana ndani ya chama hicho sasa hivi.
Sisi hayatuhusu malizaneni wenyeweBusara ni kitu cha bure.
Na kwa kawaida mtu akiwa mzee, kama alivyi Yusufu Makamba, inategemewa na jamii zote duniani kuwa atakuwa anaongea mambo ya busara na yenye mainyi, yatikanayo na uzoefu mkubwa kimaisha.
Mimi ni mwana CCM, kada, ila sijapenda rap rap ya Makamba.
Maneno ya mzee Yusufu Makamba yanakosa mizania ya busara.
Ati watu wazuri hawafi, ndio maana Kinana yupo na Kikwete yupo!
That is rubbish by all means.
Tunashukuru mama Samia alilisahihisha hilo kabla ya mkutano kumalizika
CCM wajifunze kuwa kuna wazee ndani ya CCM hawana busara ya kutosha, mmoja wai ni Yusufu Makamba, Kapteni mstaafu.
Miaka ya nyuma niliwahi kuandika kuwa CCM inaweza kufa chini ya Ukatibu Mkuu wa Yusufu Makamba.
Kabla ya kuongea na kadamnasi hadharani maneno ya Makamba hayana budi kupimwa mapema.
Yatakuhusu pale CCM wakituletea mtu mwingine anayesema mavi yako yaache nyumbani , usije nayo mjini.Sisi hayatuhusu malizaneni wenyewe
Nimekusoma mkuu 'Jidu'.Tupo katika wakati mgumu kisiasa.
Transission ya uongozi baada ya Magufuli imepewa kipaumbele na CCM katika mkutano uliopita badala ya utatuxi wa kero za wananchi.
CCM inaelekea kuupa kipaumbele ubinafsi kuliko kile wananchi walichotaka kisikike- utatuzi wa kero na sera za maendeleo.
Low point mkutano mzima ni kumpa Yusufu Makamba kuongea utumbo usiosameheka.
Hatujasahsu jinsi alivyokiingiza shimoni chama alivyokuwa katibu mkuu.
Hajawahi kuwa na busara from a way go. Tusichanganye kuvaa baraghashia na busara wala nywele nyeupe mnvi na busara wala uzee na busara wala ubwabwajaji na upepetaji mdomo na busaraMtu mzee akikosa busara hugeuka mpumbavu. Huyo babu kavimbiwa posho ndio maana ana bwatuka tu.