ALIWAZALO MJINGA NDIO LINALOMTOKEA..........kwanini ufikirie kuachana badala ya kufikiria namna ya kudumisha penzi ili liote mizizi............
Hutajisikia kuumia?
loading error................hapana kwa sababu mpaka hapo tunaachana utakuwa umeniumiza vya kutosha kwa hiyo ni mwendelezo tu wa tulichokianza
loading error................
babu, makalio ,na siku ukiachwa wajue unaitwa nani.... ha ha ha
Basi hakuna penzi hapo isipokuwa mnapunguzana nye.ge tu...........Na kwa nini nisifikirie wakati ni kitu kinachotokea sana siku hizi? Mwerevu hufikiria plan B
Hayo ni matokeo bwana na mtu ukiwa kwenye unakuwa una hope yatalast forever sasa yakitokea yakitokea basi maana nothing last forever
Sijui kwa upande wako ila kwa upande wangu sipendi kabisa matangazo pindi nikiwa na mpenzi. Fikiria siku mnaachana/mnamwagana utajisikiaje moyoni mwako au mbele za watu hasa unapoona picha au live action kutoka kwa x wako akiwa na new lover? .... kwa mfano hawa... ma x wao wanajisikiaje?
heri yako Preta hebu nifundishe mbinu
Kisa unaogopa kuachwaa...
Kwenye michepuko, kuonyeshana hadharani hakunagaKwahiyo nisi tembee au kumuonyesha mpenzi wangu kwenye hadhara(public) kisa kuogopa kuachana?
Kuachana kupo tu na maumivu Yake ni yaleyale Hata kama utamficha.
Aah wengine mapenzi ya siri hatuyawezi ati...Tukiachana basi, kwani tulizaliwa wote? Kwani sisi ndo wa kwanza kuachana?
Hata mimi sielewi watu mpendane halafu mfanye siri kwa kuogopa kwamba mtakuja kubwagana.
Sasa wewe unataka msiachane kwani mmezaliwa tumbo moja?