Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Tip Master

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
505
Reaction score
560
Habari zenu watz wenzangu,,kwaupande wangu nimeona moja ya burudan za kila siku kwa binadamu ni pamoja na matangazo ya biashara ya kwenye mabango,,televishen pamoja na radio,,
Mojawapo ya matangazo yanayoweza kua zaidi ya tangazo bali burudan kwa upande wangu ni
1) ni tangazo la mcharo kawa mtaamu(vodacom)
 
Matangazo ya pombe huwa ni mazuri sana, nakumbuka tangazo la bia ya serenget!! Watoto walikuwa wanaliita Serengeti Serengeti lilitengenezewa uwanjani, lilikamata sana na lilipendwa na hata watoto wadogo kabisa.

Lingine ni la Tusker marafiki wa kweli wimbo wake uliimbwa na TID, lilikuwa bonge la tangazo

Kwa sasa ni tangazo la timiza la airtel, ni tangazo but lina ujumbe unaouchoma moyo wangu kila siku "siogopi majukumu sababu yote yapo ndani ya uwezo wangu"
 
Asha" Ehee .hebu nitolee shati langu la madoamadoa hapo nje...,.Mbona silion.... teh teh teh...
sijui lilikuwa la sabuni gani vile
 
sio siri ni revola...... long tym sana hili tangazo, kitu cha itv kipindi hicho ata flat screen hazijaingia

Ni kweli "revola" ni miongoni mwa matangazo yanayokumbukwa na wengi, lakini tangazo lililokuwa linanikosha ni la mabati ya galco.
 
Mmasai: Erro, hatuendi kupiga mbwembwe leo,

kwanini asiendee.....tena leo ana hela nyingi kuliko jana.....
 
Hebu nieleze. Vodacom ni nini?

1. Ni mtandao wa simu za mkononiiiii
2.
 
Back
Top Bottom