Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Habari zenu watz wenzangu,,kwaupande wangu nimeona moja ya burudan za kila siku kwa binadamu ni pamoja na matangazo ya biashara ya kwenye mabango,,televishen pamoja na radio,,
Mojawapo ya matangazo yanayoweza kua zaidi ya tangazo bali burudan kwa upande wangu ni
1) ni tangazo la mcharo kawa mtaamu(vodacom)

1)Tangazo la CRDB bank lile la mtu kajifanya anatender kumbe kanyang'anywa gari TENDA GANi Si UsEME CRDb Wamechukua Gari Lao

2.Baiskel aina Ya SHANGSHENG
Anakuja mbio kweli kweli anashangilowa na Umatu wa watuhiy

3. OMO-Mama MPIGI CHUZi LOOTE Limenimwagikiaaaa

4.MODERN COMERCIAL-hallow how are you, jina langu maimuna Can i speake to your boss nasema maimunaaa

5. SALAMA CONDOM-salama chaguo la kisasaaaa

6.PEDI ZA JESSY- wanaqake kuweni wenye furaha na raha wakati wote popote na Jessy

7. MIRiNDA- njoo ufurahi njoo uburudike na mirindaaa

Haya ndio yalikuwa matangazo enzi hizo za radio tanzania
 
mimi nilikuwa napenda tangazo la mafuta ya kupikia la kimbo
 
Habari zenu watz wenzangu,,kwaupande wangu nimeona moja ya burudan za kila siku kwa binadamu ni pamoja na matangazo ya biashara ya kwenye mabango,,televishen pamoja na radio,,
Mojawapo ya matangazo yanayoweza kua zaidi ya tangazo bali burudan kwa upande wangu ni
1) ni tangazo la mcharo kawa mtaamu(vodacom)

This is the most stupid advert I have ever listened to! How can mcharo be mtamu?
 
1)Tangazo la CRDB bank lile la mtu kajifanya anatender kumbe kanyang'anywa gari TENDA GANi Si UsEME CRDb Wamechukua Gari Lao

2.Baiskel aina Ya SHANGSHENG
Anakuja mbio kweli kweli anashangilowa na Umatu wa watuhiy

3. OMO-Mama MPIGI CHUZi LOOTE Limenimwagikiaaaa

4.MODERN COMERCIAL-hallow how are you, jina langu maimuna Can i speake to your boss nasema maimunaaa

5. SALAMA CONDOM-salama chaguo la kisasaaaa

6.PEDI ZA JESSY- wanaqake kuweni wenye furaha na raha wakati wote popote na Jessy

7. MIRiNDA- njoo ufurahi njoo uburudike na mirindaaa

Haya ndio yalikuwa matangazo enzi hizo za radio tanzania

Hayo niliyapenda pamoja na haya:
1. Bwana meneja.. Una minyoo!!

2. Imepita kama umeme -Baiskel ya swala

3. Fahariiiii soda kwa woteee
 
matangaO ya magari yanachekeshaga na bia
YA NJE LAKINI
 
Mm nakumbuka lile la muhogo mchungu na chapati za AZAM kwa mamantilie tangazo la unga wa ngano wa azam dah nilikuwa silikosi
Jingine ni lile la coral paints, kitakachofuata, kwanza tupambe kisha tusherekee
Pia lile la geisha last longer remember
 
Tabgazo la serengeti la chui chui ndio funikaaaaa
 
Lipo lile la Tigo extreme jamaa anamwambia demu,"kata basi". then demu anareply,"kata wewe".

Na lile la nshomile anayetaka shati la chuichui kama la Rweyemamu.
 
1)Tangazo la CRDB bank lile la mtu kajifanya anatender kumbe kanyang'anywa gari TENDA GANi Si UsEME CRDb Wamechukua Gari Lao

2.Baiskel aina Ya SHANGSHENG
Anakuja mbio kweli kweli anashangilowa na Umatu wa watuhiy

3. OMO-Mama MPIGI CHUZi LOOTE Limenimwagikiaaaa

4.MODERN COMERCIAL-hallow how are you, jina langu maimuna Can i speake to your boss nasema maimunaaa

5. SALAMA CONDOM-salama chaguo la kisasaaaa

6.PEDI ZA JESSY- wanaqake kuweni wenye furaha na raha wakati wote popote na Jessy

7. MIRiNDA- njoo ufurahi njoo uburudike na mirindaaa

Haya ndio yalikuwa matangazo enzi hizo za radio tanzania

Wewe ni lazima uwe wa age ya 19' kweusi...! Bisha
 
Tangazo la "Maimuna" lilivuma sana na kupata umaarufu mkubwa nchini
 
"Mimi naitwa Jambo ndogo..." (Jambo Lotions)
George Pochi Amanda (Vodacom)
"Vodacom ni nini?? Ni mtandao unaongoza nchini...."
 
Back
Top Bottom