Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

chai jaba aiseee wale katuni waliotumika mule ni shidah
 
Mimi naitwa jambo katikati,nawewe je
mimi naitwa jambo ndogo....
Ifanye ngozi yako nyororo laini na yenye afya
Jambo ni lotion yako kwa wakati wote...
na kwa familia yote
NUNUA SASAA!!!!!
 
Tangazo la Guiness Power. Yani tangazo lilikuwa kama unaangalia movie vile.
 
Getelemuyo na kale nakengela kale,Serengeti raga ni bia halisi ya kitanzania inaburudisha,hahaha unakumbuka tangazo chili ni mwimbo tangazo
 
Michael Power na Guiness lilikua poa sana na lilivutia wengi ni kama movie kumbe tangazo…. Kwa hahkika kama nikilipata hata leo ntakua naliangalia
 
sio siri ni revola...... long tym sana hili tangazo, kitu cha itv kipindi hicho ata flat screen hazijaingia

Aiseeh hili tangazo way back 99 kama. Sikosei kwenye ITV DAIMA… model aliotumika ni Miriam Odemba kama sikosei pia
 
Vp yale mawili ya bima
1. "Marehemu alikuwa akisafiri na basi la abiria, kufika barabarani gari likapindu... likapinduka..... "
2. "Watoto hawa bwana, baba yao kafariki, mama yao katutoka, ila mmmmh, kula wanakula........ shauri ya bima hiyooooo, ww kalaghabhao"
 
Kuna baadhi ya matangazo yana hit kuliko hata baadhi ya track za bongo
 
Matangazo ya mikutano ya injili huwaga yananivutia sana sijaona tangazo km haya
 
Niamkapo alfajiri natabasamu usoni mwangu, kika kitu kimeunganishwa-mambo yatakuwa mazuri.

Muimbaji biz man.tangazo la voda kama skosei by 2005
 
Kuna lile la Coca cola bonge la mtu anakunywa halafu anatingishika na kutoa sauti brrrrrr r hahaa
 
1. Mabati ya galco utayatambua kwa Migongo! Mmh mmhhh Migongo????
Ndiyo mabati ya galco ukiyakunja migongo yake haipigi kelele!!!!!!

2. Freeedi freedi freeeedi, eh eh eh vipi washkaji, fredi leo umekosa muvi kali, lijitu lilimeza mji mzima.............. Fredi kwani we una shing ngapi, mimi nina nina ninaa shng'hamsini, aaaaah aaaah
 
Back
Top Bottom