Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mshindi sabuni mpya yenye nguvunipeni nguo nifue komoa dah kitambo kidogo
Matangazo ya pombe huwa ni mazuri sana, nakumbuka tangazo la bia ya serenget!! Watoto walikuwa wanaliita Serengeti Serengeti lilitengenezewa uwanjani, lilikamata sana na lilipendwa na hata watoto wadogo kabisa.
Lingine ni la Tusker marafiki wa kweli wimbo wake uliimbwa na TID, lilikuwa bonge la tangazo
Kwa sasa ni tangazo la timiza la airtel, ni tangazo but lina ujumbe unaouchoma moyo wangu kila siku "siogopi majukumu sababu yote yapo ndani ya uwezo wangu"
Habari zenu watz wenzangu,,kwaupande wangu nimeona moja ya burudan za kila siku kwa binadamu ni pamoja na matangazo ya biashara ya kwenye mabango,,televishen pamoja na radio,,
Mojawapo ya matangazo yanayoweza kua zaidi ya tangazo bali burudan kwa upande wangu ni
1) ni tangazo la mcharo kawa mtaamu(vodacom)
Ebu jitokeeeeze,...mbele ya watuuuu.
Kuna moja lile la tigo
yap yap e bwanaeee dum dum dum dum