Tangazo la Airtel lile la hamia Airtel wapo na bus kubwa afu mitandao mingine kwenye mgongo wa chura daah nalipenda kuliona [emoji23][emoji23][emoji23]
Safari ni safari, iwe kwa miguu.....................
Jambo kubwa, jambo ndogo na katikati.
Uhai, uhai, maji saaafi.
Kata wewe.....
Bambo na godoro la banco nadhani lile alitisha.
Kuna mengine yanakuja na kupotea kuna haki elimu fulani.
Kuna yule mduwanzi, malaya fulani.. Anaulizwa, leo wapi anajibu pale pale kwa jana.
Tangazo la nissan patrol ,pamoja na tangazo la oko
David wakati ndio alikuwa analitangaza tangazo la nissan patrol cylinder 6 ikiwa ndio imeingia sokoni chini ya dt dobbie