Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Tangazo la Airtel lile la hamia Airtel wapo na bus kubwa afu mitandao mingine kwenye mgongo wa chura daah nalipenda kuliona [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangazo la salama condom world cup 1994


[emoji443][emoji444]Salama chagua la kisasa[emoji445][emoji444]
 
Baiskeli ya shanghshangh inaruka kama swala

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Safari ni safari, iwe kwa miguu.....................
Jambo kubwa, jambo ndogo na katikati.
Uhai, uhai, maji saaafi.
Kata wewe.....
Bambo na godoro la banco nadhani lile alitisha.

Kuna mengine yanakuja na kupotea kuna haki elimu fulani.
Kuna yule mduwanzi, malaya fulani.. Anaulizwa, leo wapi anajibu pale pale kwa jana.
 
Tangazo la nissan patrol ,pamoja na tangazo la oko
David wakati ndio alikuwa analitangaza tangazo la nissan patrol cylinder 6 ikiwa ndio imeingia sokoni chini ya dt dobbie
 
Back
Top Bottom