Wewe acha kujivua nguo
wewe ulikua kichwani kwangu hadi useme sikumaanisha neno lipi nitumie?
unajivua nguo kwa umbumbumbu hapa
Kweli la kiafrika, limekaa original zaidiHahahha nalipenda la waafrika zaidi they nailed it even more nadhani
Usifanye Character Assassination Brother.....Be careful!......Hukutakiwa kutaja TECNO yake kwenye hoja yako.Hahah anatumia Tecno alafu,sio kosa lake lol
mie lile nalipenda hatari....
yule mtoto na vidimpozi vyake basi ananifurahisha...
Hebu nikupe facts kidogo kuhusu kinywaji hicho;Najiuliza coca cola wanatumia bajeti ya kiasi gani kwa marangazo ya TV...?
watu wao wa matangazo strategies zao ni nini?
Hili tangazo la sasa naliona ni kila baada ya dakika chache tu...
je wanafanikiwa?
kuna policy yeyote wanaoifuata...
niko very curious...
Ttz lake kakosea afu yuko busy anakosoaUsifanye Character Assassination Brother.....Be careful!......Hukutakiwa kutaja TECNO yake kwenye hoja yako.
Very sorry LadyRed for offending you. Kumbe wewe ni Lady and not Bro! I did not take a serious note on your ID! So sorry for that.Ttz lake kakosea afu yuko busy anakosoa
Btw me ni Lady🙂