Matangazo ya Cocacola kwenye TV

Matangazo ya Cocacola kwenye TV

Wewe acha kujivua nguo
wewe ulikua kichwani kwangu hadi useme sikumaanisha neno lipi nitumie?
unajivua nguo kwa umbumbumbu hapa

Acha kubishana na watumia Tecno....bishana na watu tunaotumia iPhones na Samsung kwa mbali....ukiona mtu anatumia Tecno ujue hayuko serious na maisha....hahahah NAFWAAAAZ u know - Le Mutuz Nation
 
nashauri waanzishe tu COCA COLA TV, au FANTA TV, au SPRITE TV au hata ikiwezekana NOVIDA TV.
 
Najiuliza coca cola wanatumia bajeti ya kiasi gani kwa marangazo ya TV...?

watu wao wa matangazo strategies zao ni nini?

Hili tangazo la sasa naliona ni kila baada ya dakika chache tu...

je wanafanikiwa?

kuna policy yeyote wanaoifuata...

niko very curious...
Hebu nikupe facts kidogo kuhusu kinywaji hicho;
1. Asilimia 96 ya watu duniani huitambua coca cola kama kinywai;
2.Watu 1.8 bilioni hunywa kinywaji hicho kwa siku;
3.Kwenye soko la dunia coca cola 26%, Diet coke 15%
Pepsi 15% Diet pepsi 8%
Kwa kuangalia takwimu hizo tu utaelewa kwa nini jamaa wanaendelea na ubunifu katika marketing.
 
Vinywaji vya sukari vimeanza kudoda chi zilizoendelea so lazima watukomalie sisi maana hatujatambua madhara yake bado.
 
Back
Top Bottom