Matangazo ya vifo yatolewe na ndugu na hati ya kifo iambatanishwe wakati wa kuposti JamiiForums

Hizi Tanzia zimezidi humu ndani. Mtu unashindwa ushike lipi uache lipi
Melo kazi unayo.
 
Maiti ni property ndio maana ukisafirisha kwa ndege wanauliza Nani mwenye hii mali inaitwa human remains ,unaulizwa who is the owner?
Hua unajaza kipengele cha thamani yake?

Huna mkia ni pimbi tu wewe
 
Hua unajaza kipengele cha thamani yake?

Huna mkia ni pimbi tu wewe
Thamani ya MTU IPO unaweza itathimisha kwa pesa inaitwa net worth ya mtu

Soma net worth ya bill gates nk Wewe thamani yako ni zero sababu hata nguo unazovaa ni mitumba iliyochakas ukifa hakuna anayeihitaji
 
Mbona una hofu sana wewe?? Kama hupendi watu wapeane taarifa za vifo vya wapendwa wao basi usiingie humu JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu

Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
kwan nani kasema ww umekufa mbona unashtuka shtuka kindezi ndezi mkuu?
Tanzia zote zinakuja na source sasa kuweka na cheti kwani marehemu anafanyiwa usahili ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…