soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,341
- 2,113
Hizi Tanzia zimezidi humu ndani. Mtu unashindwa ushike lipi uache lipi
Melo kazi unayo.
Melo kazi unayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hua unajaza kipengele cha thamani yake?Maiti ni property ndio maana ukisafirisha kwa ndege wanauliza Nani mwenye hii mali inaitwa human remains ,unaulizwa who is the owner?
Hata jukwaa la siasa lina nyuzi kibao tu.Hizi Tanzia zimezidi humu ndani. Mtu unashindwa ushike lipi uache lipi
Melo kazi unayo.
Thamani ya MTU IPO unaweza itathimisha kwa pesa inaitwa net worth ya mtuHua unajaza kipengele cha thamani yake?
Huna mkia ni pimbi tu wewe
Mbona una hofu sana wewe?? Kama hupendi watu wapeane taarifa za vifo vya wapendwa wao basi usiingie humu JF.Gazeti gani hilo?
Siku jambazi sugu anayetagfutwa na polisi akijiletea tangaxo la kifo wakati hajafa akakamatwa hajafa ndio siku hill gazeti litakuja imba haleluya na kujua umuhimu Wa kale kacheti ka kifo litakapounganishwa kwenye mtandao Wa majambazi
kwan nani kasema ww umekufa mbona unashtuka shtuka kindezi ndezi mkuu?Tuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu
Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu