Mwanaume mfedheheshe na matusi yote hatojali,ukitaka umuweze mwambie shughuli kitandani haiwezi anakupa shombo tu!!!
Atakuchukia mpaka siku anaenda kaburini.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie wanawake vichwa vyenu vikubwa kama Mbingu yooooote..
ukujeeNinachekaa ngoja nitarud baadae
[emoji23] [emoji23]Mwanaume mfedheheshe na matusi yote hatojali,ukitaka umuweze mwambie shughuli kitandani haiwezi anakupa shombo tu!!!
Atakuchukia mpaka siku anaenda kaburini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]wanaume wanatafuta utajiri kwa jasho hatanjia zisizo rasmi ila mwanamke anafaidi matunda ya utajiri huo.
Ndo unamwambia ki matani matani afu unahakikisha inapenyaa[emoji23] [emoji23]
Huo sasa utakua sio utani tena.
Aisee kuna vitu vingine havifai kusemwa hata kama ni utani. Mimi ukiniambia ivyo ntatafuta vimchepuko kama vinne ili nijipime kwakwel.Ndo unamwambia ki matani matani afu unahakikisha inapenyaa
HahahaAisee kuna vitu vingine havifai kusemwa hata kama ni utani. Mimi ukiniambia ivyo ntatafuta vimchepuko kama vinne ili nijipime kwakwel.
[emoji23] [emoji23]Hahaha
Na mchepuko akikwambia je?!!
Utatafta michepuko mpaka..
Hahahah..tusi zito hiloo[emoji3] [emoji108][emoji23] [emoji23]
Mpaka siku ya kuondoka duniani