proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Alikua anataka kukojoa lkn akakuogopaUkiwa unatembea njiani halafu ukakuta mwanamke kasimama anakuangalia hadi unakata kona,basi jua huyo alikuwa anajamba kimya kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua anataka kukojoa lkn akakuogopaUkiwa unatembea njiani halafu ukakuta mwanamke kasimama anakuangalia hadi unakata kona,basi jua huyo alikuwa anajamba kimya kimya.
lol, crazy[emoji23]Ukiwa unatembea njiani halafu ukakuta mwanamke kasimama anakuangalia hadi unakata kona,basi jua huyo alikuwa anajamba kimya kimya.
ImenigusaMwanaume ni kiumbe pekee chenye kutaka kuchepuka lakin hakitaki kuchepukiwa...
DuhWanaume n kiumbe pekee chenye mkia mbele[emoji85]
Umenifurahishajeeee[emoji3] [emoji3] [emoji108]Wanaume n kiumbe pekee chenye mkia mbele[emoji85]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mnawachokoza hao viumbe , subiri muambiwe hampigi mechi hadi mnywe mchuzi wa pweza,
Mi nilisha apa kutotaniana na wanawake kabisa maana hao viumbe nguvu yao ipo mdomoni na wanaume nguvu yao ipo kwenye misuli , hivyo shauri yenu mkidhalilika mi simo
[emoji3][emoji3][emoji3] agiza pepsi ya baridiii huku uendelee kufurahia zaidUmenifurahishajeeee[emoji3] [emoji3] [emoji108]
DaaahWanaume mipumbu yao inaning'inia kama mapapai mabichi na wakiwa hawana hela mipumbu inasinyaa
Kwenye kufaidi matunda ya utajiri wanawake nao wanalazimika kutoa Ile njia isiyo rasmi pia.wanaume wanatafuta utajiri kwa jasho hatanjia zisizo rasmi ila mwanamke anafaidi matunda ya utajiri huo.
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119]Wanaume n kiumbe pekee chenye mkia mbele[emoji85]
[emoji3] [emoji3] umepatiaMwanaume mfedheheshe na matusi yote hatojali,ukitaka umuweze mwambie shughuli kitandani haiwezi anakupa shombo tu!!!
Atakuchukia mpaka siku anaenda kaburini.