Matani WANAUME V/S WANAWAKE

Matani WANAUME V/S WANAWAKE

Anatafuta mchuchu mkali zaidi yako...
Mwanaume mfedheheshe na matusi yote hatojali,ukitaka umuweze mwambie shughuli kitandani haiwezi anakupa shombo tu!!!

Atakuchukia mpaka siku anaenda kaburini.
 
Mwanaume mfedheheshe na matusi yote hatojali,ukitaka umuweze mwambie shughuli kitandani haiwezi anakupa shombo tu!!!

Atakuchukia mpaka siku anaenda kaburini.
[emoji23] [emoji23]
Huo sasa utakua sio utani tena.
 
wanaume bana wanaanzisha wao matani,yakiwazidia wanaanza visingizio ooh sie tunaheshimu mama zetu ndo maana hatufunguki ovyo mara ooh tuna busara
 
Back
Top Bottom