Ati umeokoka mpaka we hu-browse na Opera skirt badala ya Opera mini!...
We ni sura mbaya mpaka wakati unazaliwa incubator yako ilikuwa tinted ndo watoto wengine wasitishike!lol
hakyanani watu mmepinda
Ayaaa...hilo ni tusi, wacha nikupe lako:
Wewe ni mbaya mpaka birth certificate yako ni apology letter from the condom factory!
Nyie ni maskini, mpaka mnakunywaga chai na chupa za dawa!
hahahahahahah
Bucho kwenu nyie ni maskini mpaka mnakulaga ugali na stori za nyama!!!!