Kizimkazimkuu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2007
- 337
- 240
Acha na mimi nijitose.....Mentor minazi inatingishika na upepo baba'ako na mama'ako wanajifundisha kucheza twist
twende twende....Ma*vi yanaelea baharini dad'ako anajifundisha kuogelea
a a a a...unajiamni kijana!
Muone kwanza, Bibi yako ni mzee, hadi yeye ndo alipikaga "The last supper"
Simu yako ni nzee mpaka imechanika phonebook!!!
a a a a...unajiamni kijana!
Muone kwanza, Bibi yako ni mzee, hadi yeye ndo alipikaga "The last supper"
Simu yako ni nzee mpaka imechanika phonebook!!!
Babu kumbe na wewe umo?We mbona unapenda kuonea wenzako? We mbona miguu yako imepinda kiasi kwamba ukisimama unaonekana umechuchumaa lakini hatukusemi?
Babu kumbe na wewe umo?
Na wewe umekomaa mpaka ukipiga chafya jogoo anawika.
Hahahaha!We ni mjinga mpaka ukitoka jasho unalia eti unavuja!Nyie kwenu ni matajiri mpaka kwenu mna teabags za uji!
Asante!We ni mchoyo mpaka ukipigiwa simu wakati unakula unaenda kujificha kwanza ndo upokee!Hahahahaaaa lizzy good one.
lione! Demu wako mfupi akikalia wembe miguu inaning'inia.
We ni muoga mpaka unalala umekunja ngumi