Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
wewe mmentor lazima chizi haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahahaha hakyamungu sijawahi kucheka kiasi hivi toka nimumbwe. I salute you bro
Pua kama honi za treni!na wewe uso km umepakwa kinyesi cha mtoto mdomoni.
Pua kama honi za treni!
Kwapa lanuka kama kinyesi cha popo!ndevu km mavuzi ya bata.
Teheeee! Meno kama shabiki wa yanga!Ha ha haa haaaaaaaa, waaaaaaaaaaa!!!!! Yaaani... yaaani, kwenu wabahili hadi panya wamehama!ha ha ha haaaaaaaaaaaa, jamani mbavu zanguuuuu!!!!!!
Unauliza wakati meno yako yapo hivyo!Mh..madumu yapi hayo ndugu? yale ya njano ya Korie ama meupe ya mafuta ya alizeti!??lol
Ndo maana na ushuzi unakutoka!! Pole bana.wewe mmentor lazima chizi haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahahahaha hakyamungu sijawahi kucheka kiasi hivi toka nimumbwe. I salute you bro
Mentor unadaiwa na Tigo ulikopa 800 leo mwezi wa pili ujaliapa
Nasikia kwenu mnakula mlo mmoja kwa siku utadhani mbwa wa polisi, maisha yalivyokuwa magumuna wewe ndo maana huduma yako ya tigo imesimamishwa kwa kosa la kutolipa deni lao sh. 880/=
Nasikia kwenu mnakula mlo mmoja kwa siku utadhani mbwa wa polisi, maisha yalivyokuwa magumu
heri yenu nyie matajiri mpaka mkiendaga kijini mnabeba nguo kwenye flash disk.
Sura ka gridi ya taifa.Wote mliochangia huku kasoro mm mna pua kama vitambulisho vya chama magamba
fafanua. Pua kama nyanya mbovu!Hata hii ni tamu sana
Oooh! Ni wewe unaekula simenti na kujisaidia tofali!Wote mliochangia huku kasoro mm mna pua kama vitambulisho vya chama magamba
Muone na nywele zako kama fungu la mchicha!Sura ka gridi ya taifa.