Matani

Wote mlichangia hii thread,mna meno ka ngiri...
 
Wote mliochangia hii thread,mna meno ka ngiri...
 
senator: una bichwa kubwa mpaka ukiwa raisi noti zitatolewa size A4
First Born: Umekonda mpaka ulipozaliwa dokta alikushika kama sigara
Babkey: Mnajifanya walokole mpaka mnapikaga ugali na msalaba
mchemsho: Umekonda mpaka ukijamba unasikia uchungu
 
Last edited by a moderator:
Weye; mwache huyo binti apite kuniona. Sura yake ina mvuto kama uso wa ngedere yakhe
 
Tihi tihi ... Huyo kaka; midomo yake miekundu kama makalio ya nyani.
 
Mentor unanisikia? We mdogo hadi siku ulipokuwa unazaliwa mama yako alikutoa kilaini kama anataga yai.

hehehehe! Mwone senetor, kamepauka hadi akijikuuna mara mbili anajaza sahani kwa miungaunga

safi!! Juaangavu we mgonjwa, ulipokuwa hospitali siku ile ulimwomba nesi akupe dripu ya damu unywe, we ulijua ni maji ya mizabibu.


uporoto01 wewe sasa, una demu wako mmbaya, kafanana na Remmy ong, ndio maana huwa unachati jf hadi asubui, huna hamu nae.
 
Pua kama buno la kozi la mnazi.
 
Ha ha haa! Ningependa kwanza nianze kwa kuomba msamaha, kwani nilihukumiwa kifungo cha wiki moja kwa kosa ambalo sikulifanya mimi. Ni my brother aliniomba atumie cm yangu akalipo repost msg isiyo zingatia kanuni. Samahanini sana waungwana! Pia naomba maoni na ushauri juu ya hili kuwa ungukuwa ni wewe unge fanya nini mtu wa karibu yako anapo tumia cm yako kwa matumizi mabaya. Pia najua hili ni jukwaa la jokes but naombeni mniwie radhi..{mentor looked bichwa kubwa kama boga la mkulima wa kisukuma}
 
Sajunne una macho makubwa kama bushbaby, yamekutangulia hatua nne mbele hadi huoni jukwaa la kuombea msamaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…