Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskinii!! Ulivyo wewe unadhani na wenzako wako hivyo. Kweli umeumbika.Wote mliochangia hii thread,mna meno ka ngiri...
He! Na miguu yako kama kipago utaenda na nani!!Twende... Twende..Pua kama kona ya sambusa..!
wapi wewe,una matiti makubwa ka una offer ya kunyonyesha majambazi!!Maskinii!! Ulivyo wewe unadhani na wenzako wako hivyo. Kweli umeumbika.
unacheka cheka ka jk..sura ka avatar ya rejao.
Yako si unanyonyesha mafisadi wa chichiemu!wapi wewe,una matiti makubwa ka una offer ya kunyonyesha majambazi!!
Tehe! Tehe! Wewe je! Umekonda mpaka jina la utoto unaitwa uzi wa buibui!Na wewe umekonda mpaka ukivaa suti ya kijani unakaa muwa!
miguu imepinda ka kick ya pikipiki.unacheka cheka ka jk..
Pua kama buno la kozi la mnazi.Mentor unanisikia? We mdogo hadi siku ulipokuwa unazaliwa mama yako alikutoa kilaini kama anataga yai.hehehehe! Mwone senetor, kamepauka hadi akijikuuna mara mbili anajaza sahani kwa miungaungasafi!! Juaangavu we mgonjwa, ulipokuwa hospitali siku ile ulimwomba nesi akupe dripu ya damu unywe, we ulijua ni maji ya mizabibu.uporoto01 wewe sasa, una demu wako mmbaya, kafanana na Remmy ong, ndio maana huwa unachati jf hadi asubui, huna hamu nae.
Sajunne una macho makubwa kama bushbaby, yamekutangulia hatua nne mbele hadi huoni jukwaa la kuombea msamaha!Ha ha haa! Ningependa kwanza nianze kwa kuomba msamaha, kwani nilihukumiwa kifungo cha wiki moja kwa kosa ambalo sikulifanya mimi. Ni my brother aliniomba atumie cm yangu akalipo repost msg isiyo zingatia kanuni. Samahanini sana waungwana! Pia naomba maoni na ushauri juu ya hili kuwa ungukuwa ni wewe unge fanya nini mtu wa karibu yako anapo tumia cm yako kwa matumizi mabaya. Pia najua hili ni jukwaa la jokes but naombeni mniwie radhi..{mentor looked bichwa kubwa kama boga la mkulima wa kisukuma}