Matani

Nasikia huko kwenu hakuna magari, siku gar likipita wanafunzi wanatoka nje kulishangaa wakirud wanatungiwa msamiat.
 
na hii we mweusi mpaka ukikanyaga mkaa unaacha foot prints
 
Du ebwana du maneno matupu yasiyovunja mifupa
 
kwenda zako
unawaza utaenda kuomba wapi pesa!!!!!!!!!!!!!!!!!
umasikini umekujaa hadi mawazoni.............
 
hivi ile kesi yako iliyofunguliwa na hakimu mkazi kisutu kwa kosa la kuchafua hali ya hewa eneo la mahakama kwa ushuzi iliisha?
<br />
<br />

itaishia wapi wakati ulikata rufaa uking'ang'ania kuunusa na ukashinda!
 
Mwenye thread z to creative,
nimeipenda sana kwani imenikumbusha mbali nikacheka sana,
we ndio kinara wa utani humu,
cheki tunavyoendelea kuchangia
 
Haya twende twende,
lione linavyonitajiria majijo
...
 
duu hii kali
 
Nasikia kwenu una ma cc ma ugly mpaka mzee kaandika kwenye geti mary one get two for free!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…