Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unasula mbaya mpaka WASILA ANAKUCHEKA!wewe umjinga na msahaulifu hadi wataalam wamekufunga RAM ya 8GB na external hard disk ya 600GB kwenye kichwa chako.
umwone kichwa kidogo kama mbegu ya mchicha!....teh-teh-teh!...
haya na mm aniguse mtu!...
kwenda zakoacha kabisa, pesa zimenizidi mpaka nikaamua nikae chini kutafakari kuwa ntazitumiaje, siwezi kukuonyesha kwetu maana unaweza ukahamisha kijiji kizima ukifikri UN imeingia kutoa misaada, najua kwenu mnashida hadi nywele zinanyonyoka kwenda kutafuta chakula.
<br />hivi ile kesi yako iliyofunguliwa na hakimu mkazi kisutu kwa kosa la kuchafua hali ya hewa eneo la mahakama kwa ushuzi iliisha?
<br />Haya twende twende, <br />
lione linavyonitajiria majijo<br />
...
Elli acha kunivunja mbavu bana...so, wakuu wote wamo humu...
Kwanza nlikuwa na moja la malaria sugu wacha nimpe ndo nimuombe msamaha: Una kiuno kidogo mpaka ukijifunga belt ya kijani unakaa taxi za Ilala...
basi wacha niendelee na wewe:
Yaani wewe ni mjinga mpaka ulienda boarding sunday school!
Hehe Hus..usinkumbushe..wewe ni mshamba mpaka simu yako ina game ya kulima!
Wote mlichangia hii thread,mna meno ka ngiri...
mnene mpaka mizani inasema to be cotinued...
we babkey uliangalia keki ikapasuka