Matani

Last edited by a moderator:
mentor eti we unatumbo kubwa hadi ukitaka kuoga unapaka sabun ukutan halafu ndo unasugulia hapo tumbo il lipate sabun....
 
We ni mfupi mpaka ukitembelea wanafunzi wa class one badala ya kusalimia wanasema mojaaaa..
Kaka yako anatabia mbaya ndo mana alipozaliza aligeuka nyuma.
 
Kwenu mko wengi mpaka mkitoka nje watu wanadhani mmetoka church!!! hahaha....
Simu yako ndogo uki2ma meseji ndefu inaenda na simu.

N wewe ni **** mpaka unashikwaga mkono kwenye zebra crossing!
 
Mentor we ni mshamba had uligongwa na a parked car,,
demu wako n mnene had ukimpeleka kwa cnema house anasit nxt 2 everybody...
Mweuc had unaacha finger prints kweny mkaa....
Una bichwa kubwa had ukiwaza unaskia mwangwi...
 
mentor nasikia unatembea na filimbi...bichwa kubwa ukidondoka huwez kunyanyuka mwenyewe mpaka upge filimbi watu wakuokote..tehteh teh
 
1701, wewe simu yako ni nzee mpaka ina-game ya kushindana kuwasha moto kwa kutumia mawe!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor we ni mshamba had uligongwa na a parked car,,
demu wako n mnene had ukimpeleka kwa cnema house anasit nxt 2 everybody...
Mweuc had unaacha finger prints kweny mkaa....
Una bichwa kubwa had ukiwaza unaskia mwangwi...
Domowazi, kwenu ni maskini mpaka mnakulaga ugali na stori za nyama!!!!
 
Last edited by a moderator:
mentor eti we unatumbo kubwa hadi ukitaka kuoga unapaka sabun ukutan halafu ndo unasugulia hapo tumbo il lipate sabun....

Unaugomvi na mzee wa TOT ?

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Mwanjelwa Mbeya.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…