Matani

Matani

Eti wewe ni mchafu mpaka ukitema mate yanakuwa mbolea!!!
Muone kwanza kikwapata kinatoa harufu mpaka mbu wanakufa. Twende twende unakwenda kama unarudi , ndio maana una migulu baja
 
dah @Mentor we ni munouma, ila angalia bana matani yanatakiwa yawe uongo sasa naona kuna mengine yafanana na ukweli hahahahahahhaha
nasikia meno yako yameungua kama umeng'ata mav*
 
Jamani nilipokuwa mdogo hii ndo ilikuwa hobby yangu maana kwa umbo langu dogo sikuweza kupigana ila ukinikosea kidogo..nitakupa neno utakaa kimya mwenyewe!
Najikumbushia tu...(usinichukie...)

Unataka matani.. Nyani Ngabu, una bichwa kubwa mpaka shuleni ulikuwa unaitwa Headboy! twende twende..
fidel 80, wewe umekonda mpaka ukisimama kwenye ukuta unakaa kama crack...
:Mzee mwanakijiji demu wako amekonda mpaka akivaa t-shirt ya bluu anafanana na sim card ya tiGO.. Asprin unamashavu kama mimba ya panya..
Na wewe TUKUTUKU uso kama shamba la matuta...
Unataka unataka..
Mwangalie kwanza, wewe Bigirita yaani wewe ni mbaya mpaka hutumia lotion inayoitwa 'why bother!'..teh teh..
Zak wewe ni mweusi mpaka ukirushiwa jiwe linarudi kuitisha tochi...

PS: On a light touch...

Kwenda huko we mentor umekonda hadi unaweza kuchungulia kwa tundu l ufunguo na macho zote mbili
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha! Loh! Hadi medondosha pua!!

munkari eti nasikia kwenu mbagala mmuzoea kubanana kwenye daladala mpaka siku umekwenda kwenye jengo lenye lift ulipofungua walioko ndona wakakuambia imejaa eti ukawajibu ntasimama

cc kwa Mentor
 
Last edited by a moderator:
Muone Macho kama fundi saa kapoteza nati.

Ndiyo maana kwenu mko wengi mpaka chai mnakunywa na sprinkler!

Muone kwanza kikwapata kinatoa harufu mpaka mbu wanakufa. Twende twende unakwenda kama unarudi , ndio maana una migulu baja

NDo maana wewe umekonda hadi unavaa pedi na suspenders!

hahahahahaha! Loh! Hadi medondosha pua!!

Ahahahahahahahahaha...ndo maana una mapengo mengi mpaka ulimi wako unakaa kama uko jela!lol

dah @Mentor we ni munouma, ila angalia bana matani yanatakiwa yawe uongo sasa naona kuna mengine yafanana na ukweli hahahahahahhaha
nasikia meno yako yameungua kama umeng'ata mav*

Lol...ndo maana TV yenu ni nzee mpaka mnaizimaga kwa maji!

Kwenda huko we mentor umekonda hadi unaweza kuchungulia kwa tundu l ufunguo na macho zote mbili

Wewe umekonda mpaka hujitawaza na uzi badala ya tissue pepa!lol (una undugu na Munkari)
 
Last edited by a moderator:
Mentor muone kwanza ndevu kama nyaya za umeme , nywele kama fagio la chuma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom