City hunter j
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 926
- 380
Eti wewe ni mchafu mpaka ukitema mate yanakuwa mbolea!!!
Muone kwanza kikwapata kinatoa harufu mpaka mbu wanakufa. Twende twende unakwenda kama unarudi , ndio maana una migulu bajaEti wewe ni mchafu mpaka ukitema mate yanakuwa mbolea!!!
Eti una sura mbaya mpaka ukijiangalia kwenye kioo kinakuandikia Please wait...
hahahahahaha! Loh! Hadi medondosha pua!!
Jamani nilipokuwa mdogo hii ndo ilikuwa hobby yangu maana kwa umbo langu dogo sikuweza kupigana ila ukinikosea kidogo..nitakupa neno utakaa kimya mwenyewe!
Najikumbushia tu...(usinichukie...)
Unataka matani.. Nyani Ngabu, una bichwa kubwa mpaka shuleni ulikuwa unaitwa Headboy! twende twende..
fidel 80, wewe umekonda mpaka ukisimama kwenye ukuta unakaa kama crack...
:Mzee mwanakijiji demu wako amekonda mpaka akivaa t-shirt ya bluu anafanana na sim card ya tiGO.. Asprin unamashavu kama mimba ya panya..
Na wewe TUKUTUKU uso kama shamba la matuta...
Unataka unataka..
Mwangalie kwanza, wewe Bigirita yaani wewe ni mbaya mpaka hutumia lotion inayoitwa 'why bother!'..teh teh..
Zak wewe ni mweusi mpaka ukirushiwa jiwe linarudi kuitisha tochi...
PS: On a light touch...
hahahahahaha! Loh! Hadi medondosha pua!!
Muone Macho kama fundi saa kapoteza nati.
Muone kwanza kikwapata kinatoa harufu mpaka mbu wanakufa. Twende twende unakwenda kama unarudi , ndio maana una migulu baja
hahahahahaha! Loh! Hadi medondosha pua!!
dah @Mentor we ni munouma, ila angalia bana matani yanatakiwa yawe uongo sasa naona kuna mengine yafanana na ukweli hahahahahahhaha
nasikia meno yako yameungua kama umeng'ata mav*
Kwenda huko we mentor umekonda hadi unaweza kuchungulia kwa tundu l ufunguo na macho zote mbili
Jamani, sie kwetu kuchafu hadi mende wanavaa kandambili!