Matapeli wa kwenye mitandao wanajuaje kuwa namba ya mtu flani inapesa kiasi fulani?

Afcon kinanuka

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2026
Posts
1,623
Reaction score
4,213
Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti yangu inasoma sawa kabisa na hiyo tapeli aliyotuma.mfano imethibitishwa umepokea shilingi 10000 mwamala namba xx jumla ni 100000. Bahati nzuri sitapeliki kirahis maana nilikinukisha kwa huyo tapeli.

WATAALAMU nifungueni macho je hawa matapeli wanajuaje kuwa akaunti ya mtu fulani ina kiasi fulani.Mwisho kabisa mtandao wa airtel unaongoza kwa matapeli kupiga simu
 
Ushawahi kutuma muamala kimakosa,au umetuma muamala ukachelewa kufika
Wewe ukapiga customer care mhudumu anakuambia ndg mteja taja majina yako 3,naomba unipe ruhusu niingie kwenye ac yako nithibitishe kama kuna muamala umefanya 😄

Mpaka hapo utakuwa ushanielewa

Ova
 
Kwa maana hiyo.matapeli huwa ni wa hukohuko kwenye mtandao husika?
 
Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti yangu inasoma sawa kabisa na hiyo tapeli aliyotuma.mfano imethibitishwa umepokea shilingi 10000 mwamala namba xx jumla ni 100000. Bahati nzuri sitapeliki kirahis maana nilikinukisha kwa huyo tapeli.

WATAALAMU nifungueni macho je hawa matapeli wanajuaje kuwa akaunti ya mtu fulani ina kiasi fulani.Mwisho kabisa mtandao wa airtel unaongoza kwa matapeli kupiga simu
Ni random mkuu. Wanaweza kupiga simu 1000 kwa siku lazima wampate mmoja ama watano. Na kati ya hao elfu lazima kuna boya ataingia kingi tu na kulizwa.

Utapeli nao ni kipaji.
 
Si kweli kuna mtandao ukiwa na 300000+ unapigiwa sana
 
Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti yangu inasoma sawa kabisa na hiyo tapeli aliyotuma.mfano imethibitishwa umepokea shilingi 10000 mwamala namba xx jumla ni 100000. Bahati nzuri sitapeliki kirahis maana nilikinukisha kwa huyo tapeli.

WATAALAMU nifungueni macho je hawa matapeli wanajuaje kuwa akaunti ya mtu fulani ina kiasi fulani.Mwisho kabisa mtandao wa airtel unaongoza kwa matapeli kupiga simu
Mambo ya connection kama wanavyotufanyia CCM kwenye rasilimali za taifa hili😭
 
Back
Top Bottom