Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Ushawahi kutuma muamala kimakosa,au umetuma muamala ukachelewa kufikaHawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti yangu inasoma sawa kabisa na hiyo tapeli aliyotuma.mfano imethibitishwa umepokea shilingi 10000 mwamala namba xx jumla ni 100000. Bahati nzuri sitapeliki kirahis maana nilikinukisha kwa huyo tapeli.
WATAALAMU nifungueni macho je hawa matapeli wanajuaje kuwa akaunti ya mtu fulani ina kiasi fulani.Mwisho kabisa mtandao wa airtel unaongoza kwa matapeli kupiga simu
Kwa maana hiyo.matapeli huwa ni wa hukohuko kwenye mtandao husika?Ushawahi kutuma muamala kimakosa,au umetuma muamala ukachelewa kufika
Wewe ukapiga customer care mhudumu anakuambia ndg mteja taja majina yako 3,naomba unipe ruhusu niingie kwenye ac yako nithibitishe kama kuna muamala umefanya 😄
Mpaka hapo utakuwa ushanielewa
Ova
Inside job !!!!!Kwa maana hiyo.matapeli huwa ni wa hukohuko kwenye mtandao husika?
Ni random mkuu. Wanaweza kupiga simu 1000 kwa siku lazima wampate mmoja ama watano. Na kati ya hao elfu lazima kuna boya ataingia kingi tu na kulizwa.Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti yangu inasoma sawa kabisa na hiyo tapeli aliyotuma.mfano imethibitishwa umepokea shilingi 10000 mwamala namba xx jumla ni 100000. Bahati nzuri sitapeliki kirahis maana nilikinukisha kwa huyo tapeli.
WATAALAMU nifungueni macho je hawa matapeli wanajuaje kuwa akaunti ya mtu fulani ina kiasi fulani.Mwisho kabisa mtandao wa airtel unaongoza kwa matapeli kupiga simu
Kwanini wapatie kiasi kilichopo kwenye account yako.Ni random mkuu. Wanaweza kupiga simu 1000 kwa siku lazima wampate mmoja ama watano. Na kati ya hao elfu lazima kuna boya ataingia kingi tu na kulizwa.
Utapeli nao ni kipaji.
Kwamfano wewe unakaa tegeta unadhani mwizi akitaka kukuibia atatoka sinza? Atatoka hapo hapo tegeta mtaani kwako kikulacho kinguoni mwako.Kwa maana hiyo.matapeli huwa ni wa hukohuko kwenye mtandao husika?
Kwani huwa wanapatia kiasi kwenye kila akaunti ya mtu wanayetaka kumtapeli?Kwanini wapatie kiasi kilichopo kwenye account yako.
Mini imenitokea kwngu.yaani sms ya hela feki ya tapeli ukiijumlisha na kiasi kilichopo kwenye akaunti inawiana 100%Kwani huwa wanapatia kiasi kwenye kila akaunti ya mtu wanayetaka kumtapeli?
Wewe umeshuhudia wakipatia kwa watu wangapi?
Basi huenda mawakala wanahusika kwenye hiyo michezo sana.Mini imenitokea kwngu.yaani sms ya hela feki ya tapeli ukiijumlisha na kiasi kilichopo kwenye akaunti inawiana 100%
Si kweli kuna mtandao ukiwa na 300000+ unapigiwa sanaNi random mkuu. Wanaweza kupiga simu 1000 kwa siku lazima wampate mmoja ama watano. Na kati ya hao elfu lazima kuna boya ataingia kingi tu na kulizwa.
Utapeli nao ni kipaji.
Wanakera sanaNilisajiri lain mpya haina hata jna kuweka tu kwenye simu nkapokea sms toka kwa tapeli hii nchii ni ya kitapeli pia
Wanabahatisha tuu mimi walinambia nina laki3 na pesa imetumwa kimakosa laki 2 na 40 jumla nina laki 5 na 40 wakati sina hata mia.Kwanini wapatie kiasi kilichopo kwenye account yako.
Mambo ya connection kama wanavyotufanyia CCM kwenye rasilimali za taifa hili😭Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani .lakini kilichonishangaza hela iliyotumwa ya kitapeli na ukiijumlisha na ile iliyomo kwanye akaunti yangu inasoma sawa kabisa na hiyo tapeli aliyotuma.mfano imethibitishwa umepokea shilingi 10000 mwamala namba xx jumla ni 100000. Bahati nzuri sitapeliki kirahis maana nilikinukisha kwa huyo tapeli.
WATAALAMU nifungueni macho je hawa matapeli wanajuaje kuwa akaunti ya mtu fulani ina kiasi fulani.Mwisho kabisa mtandao wa airtel unaongoza kwa matapeli kupiga simu