Huku Kenya iko watu wameweka tangazo jiji ya kwamba wana nyumba ya kukodisha. Niliona nyumba moja Kodi ilikuwa elfu kumi na saba. Lakini maeneo hayo nyumba ya bedroom mbili huwa na kodi ya kama elfu ishirini na tano. Kupiga simu truecaller app fulani ya simu ambayo huonyesha majina ya watu ukipiga simu ikanionyesha Jina< house scammers> yani watapeli wa nyumba.
Nilipopiga simu mwanamke mmoja akasema yeye ndio mwenye nyumba na iko mtu alitaka nyumba hii jana lakini bado hajalipa. Akasema kama nataka nyumba nimtumie deposit yaani kodi ya mwezi moja ili anipe nyumba.
Nilishangaa kwa vile sijaona nyumba, nikamweleza sijaona nyumba nitalipaje kodi. Jee isiponipendeza nitafanya nini na nishalipa. Akanieleza ya kwamba nisipopenda nyumba atanirudishia hela zangu.
Niliogopa kutuma hela kwa vile sijaona nyumba sijui yule naongea naye. Nikituma pesa sina uhakika kama nyumba iko. Hakuna vile ningerudishiwa pesa na polisi hawawezi saidia. Niliamua kutotuma pesa mawasiliano yakaisha hapa.