Matapeli wa nyumba mtandaoni

Matapeli wa nyumba mtandaoni

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
151
Reaction score
311
Huku Kenya iko watu wameweka tangazo jiji ya kwamba wana nyumba ya kukodisha. Niliona nyumba moja Kodi ilikuwa elfu kumi na saba. Lakini maeneo hayo nyumba ya bedroom mbili huwa na kodi ya kama elfu ishirini na tano. Kupiga simu truecaller app fulani ya simu ambayo huonyesha majina ya watu ukipiga simu ikanionyesha Jina< house scammers> yani watapeli wa nyumba.

Nilipopiga simu mwanamke mmoja akasema yeye ndio mwenye nyumba na iko mtu alitaka nyumba hii jana lakini bado hajalipa. Akasema kama nataka nyumba nimtumie deposit yaani kodi ya mwezi moja ili anipe nyumba.

Nilishangaa kwa vile sijaona nyumba, nikamweleza sijaona nyumba nitalipaje kodi. Jee isiponipendeza nitafanya nini na nishalipa. Akanieleza ya kwamba nisipopenda nyumba atanirudishia hela zangu.

Niliogopa kutuma hela kwa vile sijaona nyumba sijui yule naongea naye. Nikituma pesa sina uhakika kama nyumba iko. Hakuna vile ningerudishiwa pesa na polisi hawawezi saidia. Niliamua kutotuma pesa mawasiliano yakaisha hapa.
 
Wakenya mna utapeli wa Kiboya sana...
Sio wakenya TU Kuna kikundi Kiko hapo mikocheni, mwananyamara na jinondoni kimeliza watu wengi sana Tena mamilioni. Mimi ni mhanga wa hilo.

Kesi za namna giyo zimejaa kituo Cha polisi Oysterbay na hakuna kinachifanyika; Inaonekana jamaa wana konection kubwa pale.
 
Utakuwa mjinga sana kupiga number ya simu kwenye poster iliyobandikwa mjini - iwe kwa kutafuta nyumba, huduma ama mganga kutoka Tanzania. Ukitaka kuhumiwa nenda kwa professionals. Mtu yeyote anayebandika huduma ya kwa poster mjini ni tapeli na hilo linajulikana.
 
Acha mshamba mwenzio Aliwe na wajanja
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana.... Mpaka leo nashangaa, unatapeliwaje? Mimi hata simu nisingepiga
 
Huku Kenya iko watu wameweka tangazo jiji ya kwamba wana nyumba ya kukodisha. Niliona nyumba moja Kodi ilikuwa elfu kumi na saba. Lakini maeneo hayo nyumba ya bedroom mbili huwa na kodi ya kama elfu ishirini na tano. Kupiga simu truecaller app fulani ya simu ambayo huonyesha majina ya watu ukipiga simu ikanionyesha Jina< house scammers> yani watapeli wa nyumba.

Nilipopiga simu mwanamke mmoja akasema yeye ndio mwenye nyumba na iko mtu alitaka nyumba hii jana lakini bado hajalipa. Akasema kama nataka nyumba nimtumie deposit yaani kodi ya mwezi moja ili anipe nyumba.

Nilishangaa kwa vile sijaona nyumba, nikamweleza sijaona nyumba nitalipaje kodi. Jee isiponipendeza nitafanya nini na nishalipa. Akanieleza ya kwamba nisipopenda nyumba atanirudishia hela zangu.

Niliogopa kutuma hela kwa vile sijaona nyumba sijui yule naongea naye. Nikituma pesa sina uhakika kama nyumba iko. Hakuna vile ningerudishiwa pesa na polisi hawawezi saidia. Niliamua kutotuma pesa mawasiliano yakaisha hapa.
Salehe umeanza lini kuongea rafudhi ya Kenya aisee?
 
Utakuwa mjinga sana kupiga number ya simu kwenye poster iliyobandikwa mjini - iwe kwa kutafuta nyumba, huduma ama mganga kutoka Tanzania. Ukitaka kuhumiwa nenda kwa professionals. Mtu yeyote anayebandika huduma ya kwa poster mjini ni tapeli na hilo linajulikana.
Huko kuna waganga toka tz?
 
Rekebisha Kiswahili chako, unatumia kimakosa neno "Iko", katika maeneo yote uliyotumia hili neno halikustahili kuwepo
Iki ndo swahili ya kenya Mkuu

Usishangae swahili yetu ya kenya

Hhhhhhhhh
 
Sio wakenya TU Kuna kikundi Kiko hapo mikocheni, mwananyamara na jinondoni kimeliza watu wengi sana Tena mamilioni. Mimi ni mhanga wa hilo.

Kesi za namna giyo zimejaa kituo Cha polisi Oysterbay na hakuna kinachifanyika; Inaonekana jamaa wana konection kubwa pale.
Hivi nyumba ya kupanga unatapeliwa vipi?
 
Back
Top Bottom