Matapeli wa TV Zanzibar

Matapeli wa TV Zanzibar

Muuza tv mwaminifu zanzibar Ni dulla (Abdulwahid) TU,

na tuko naye humu jf Miaka na miaka anafanya biashara yake kiroho Safi.
 
Watu wengi wanapenda slope,ndomana hao jamaa wanawakamata sana

Ova
 
Duh aisee..me nusu niliwe...nilikuwa napanga mwisho wa mwezi huu ninunue hiyo kitu...
Ila uzuri wake niliwambia kuna mtu yuko Zanzibar atakuja kuchukua dukani moja kwa mojaView attachment 1818790View attachment 1818791View attachment 1818792
Screenshot_20210614-194900.jpg
 
Back
Top Bottom