Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
Humu wateja ni wengi sana na matapeli ni wengi sana.
Hawa wa weka mzigo hapa ,njoo uchukue pesa pale wamekua wa kutosha asee.
Mara ooh boda ninunulie umeme unavyokuja nitakulipa pamoja na hela ya mzigo,Wanatutia hasara za delivery sana tu.
Sasa hii ya leo ni kali,mtu kanicheki yupo Maili moja kibaha anahitaji hili fridge.
Hili fridge kwanza kutoa store tu ni mziki na kufika kibaha ni mziki mwingine.
Fridge linafika kibaha kumbe mteja ni Tapeli asee💔💔!
Tuweni makini sana humu wakuu,wateja humu wengi wamenyooka ila matapeli pia wamenyooka pia.
Ukiwa desparate na pesa ya mteja humu unapigwa chap
Fridge/freezer
Speakers,Radio, soundbar nk
Tv brands tofauti
Ac , aircooler na feni
Vinginevyo