Post bidhaa pia piga spana .Natamani sana kupost matangazo ya biashara yangu jf.. tatizo ka mdomo nisije potea mazima kama kina slow slow ðŸ˜
Sema mazee piga chini Watanzania wengi wana stress za ajabu wanaweza kuichukuia biashara yako bila sababu na mtu hata akujui ndio roho zao hizo hapa watajitokeza wengi kukuonea huruma ukisema hauna nauli ya kesho ila ukitoa taarifa ya mafanikio ya kitu chochote hao hao watakasirika..Unanifosi nipigwe ban sio ,am very familiar with your games.
Sina haja ya kupost tangazo jipya ,matangazo nishaweka na yapo active mda wote na simu zinaingia.
Una overthink sana ,pole kwa unayoyapitia utakaa sawa tu
njoo na ID mpya ya kazi tuNatamani sana kupost matangazo ya biashara yangu jf.. tatizo ka mdomo nisije potea mazima kama kina slow slow ðŸ˜
Idea nzuri ntaifanyia kazinjoo na ID mpya ya kazi tu
Wewe ndio mgeni naona,mpaka mikoani mzigo unapelekwa na hujapokea hata mia!Sasa ndugu fridge kama ili unafanya delivery maili moja wakati bado hujapokea ata nusu embu tueleze una mda gani kwenye biashara 😃
Piganeni basi au unamuogopa 🤣Cha kwanza mjinga mwenyewe… na komwe lako kama sabufa la kichina...
Hoja ilianzia umeweka tangazo lako kimbinu sana, au hukusoma btn lines ukaelewa? Ukaja kunijibu ujinga ndio nikakwambia usijilize over petty issues.. hapa tena unazidi kujionyesha how mjinga you are.. Em usinichoshe
Post tu mkuu 🤣Natamani sana kupost matangazo ya biashara yangu jf.. tatizo ka mdomo nisije potea mazima kama kina slow slow ðŸ˜
Nna clean sheet asije nisababishia kulala central nikachafua mkeka 😂Piganeni basi au unamuogopa 🤣
biashara ganiNatamani sana kupost matangazo ya biashara yangu jf.. tatizo ka mdomo nisije potea mazima kama kina slow slow ðŸ˜
Siku nyingine mteja alipe kwanza gharama ya usafiri au asilimia fulani ya thamani ya bidhaa. Pole kwa changamotoHumu wateja ni wengi sana na matapeli ni wengi sana.
Hawa wa weka mzigo hapa ,njoo uchukue pesa pale wamekua wa kutosha asee.
Mara ooh boda ninunulie umeme unavyokuja nitakulipa pamoja na hela ya mzigo,Wanatutia hasara za delivery sana tu.
Sasa hii ya leo ni kali,mtu kanicheki yupo Maili moja kibaha anahitaji hili fridge.
Hili fridge kwanza kutoa store tu ni mziki na kufika kibaha ni mziki mwingine.
Fridge linafika kibaha kumbe mteja ni Tapeli asee💔💔!
Tuweni makini sana humu wakuu,wateja humu wengi wamenyooka ila matapeli pia wamenyooka pia.
Ukiwa desparate na pesa ya mteja humu unapigwa chap
Fridge/freezer
Speakers,Radio, soundbar nk
Tv brands tofauti
Ac , aircooler na feni
VinginevyoView attachment 3544371
Fungua ID nyingine kwa ajili ya biashara tuNatamani sana kupost matangazo ya biashara yangu jf.. tatizo ka mdomo nisije potea mazima kama kina slow slow ðŸ˜
Post yako umeiandika kitapeli sana na strategically umeianza na 'defence'.Humu wateja ni wengi sana na matapeli ni wengi sana.