Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
Mjanja kivipi? Unadhani hii ni clout?We jamaa mjanja sana
hilo fridge ni bei gani kwani?
Hawaji pm wala wanapiga simu Moja kwa mojaSi umrepote
YaaanWe jamaa mjanja sana
hilo fridge ni bei gani kwani?
😀😀Yaaan
Ni technique tu kama za Russian guy.. nilikuwa nimuombe picha ya friji lilipofika Kibaha..😁😁
This is too low for you!!Yaaan
Ni technique tu kama za Russian guy.. nilikuwa nimuombe picha ya friji lilipofika Kibaha..😁😁
Sasa hapa JF hutakiwi kujiliza over petty issues 😂This is too low for you!!
Hii ni thinking gani? Katika mjadala wote wewe ndio umechagua hicho.
Upo idle kiasi hicho?
Petty issues ni zipi,unapimaje kuwa ni petty issues?Sasa hapa JF hutakiwi kujiliza over petty issues 😂
Utajichosha bure..
Cha kwanza mjinga mwenyewe… na komwe lako kama sabufa la kichina...Petty issues ni zipi,unapimaje kuwa ni petty issues?
Hili ni jukwaa la ukoo wenu mpaka usitake tuweke maoni hapa?
Wewe ni mjinga
Humu wateja ni wengi sana na matapeli ni wengi sana.
Hawa wa weka mzigo hapa ,njoo uchukue pesa pale wamekua wa kutosha asee.
Mara ooh boda ninunulie umeme unavyokuja nitakulipa pamoja na hela ya mzigo,Wanatutia hasara za delivery sana tu.
Unanifosi nipigwe ban sio ,am very familiar with your games.Cha kwanza mjinga mwenyewe… na komwe lako kama sabufa la kichina...
Hoja ilianzia umeweka tangazo lako kimbinu sana, au hukusoma btn lines ukaelewa? Ukaja kunijibu ujinga ndio nikakwambia usijilize over petty issues.. hapa tena unazidi kujionyesha how mjinga you are.. Em usinichoshe
Lg 77"C4 OLED 8.7MUnauzaje LG Signature OLED inch 77 mkuu