Matapeli wamevamia JF wafanyabiashara wezangu humu tuchukue tahadhari!!

Unanifosi nipigwe ban sio ,am very familiar with your games.

Sina haja ya kupost tangazo jipya ,matangazo nishaweka na yapo active mda wote na simu zinaingia.

Una overthink sana ,pole kwa unayoyapitia utakaa sawa tu
Sema mazee piga chini Watanzania wengi wana stress za ajabu wanaweza kuichukuia biashara yako bila sababu na mtu hata akujui ndio roho zao hizo hapa watajitokeza wengi kukuonea huruma ukisema hauna nauli ya kesho ila ukitoa taarifa ya mafanikio ya kitu chochote hao hao watakasirika..
 
Hawa matapeli wamekuwa wengi sana, juzi wametaka kunitapeli kwa style hiyo hiyo ila nkastuka mapema, walipiga simu wawili kwa no tofauti afu sehemu wanapotaka mzigo ufike ni moja
Nka waambia walipe kwanza ndo nifanye delivery wao wanataka nitume boda nkajua ndo yale yale ya kumuomba boda awanunulie umeme akifika atarudishiwa hela
 
Sasa ndugu fridge kama ili unafanya delivery maili moja wakati bado hujapokea ata nusu embu tueleze una mda gani kwenye biashara πŸ˜ƒ
 
Piganeni basi au unamuogopa 🀣
 
Siku nyingine mteja alipe kwanza gharama ya usafiri au asilimia fulani ya thamani ya bidhaa. Pole kwa changamoto
 
Post yako umeiandika kitapeli sana na strategically umeianza na 'defence'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…