Matapeli wamevamia JF wafanyabiashara wezangu humu tuchukue tahadhari!!

Sema mazee piga chini Watanzania wengi wana stress za ajabu.
Wewe jamaa mwaka juzi nakuomba ushauri kuhusu wapi nikaishi Cape Town. Eti ukanishauri niende Wynberg.

Aisee, sijui ulikuaga umekunywa wanzuki kidogo. Ulikua umenipeleka chaka vibaya sana.

Kule wamejaa blacks, pabaya kishenzi. Usafiri kuja Mowbray napofanyia mishe zangu kila siku inanitoka R40 si usenge huo.

Sasa hivi naishi hapa Mowbray karibu na Maternity Hospital maisha murua kabisa.

Japo naumia kwenye renti (R5,000 per month) kulinganisha na kule Wynberg R2000.
 
Daah hapo umepata rand 5000 tu unaanza kutukana nadhani endelea na life lako tu..
 
Duh pole mkuu, harafu hii ipo kotekote, an mnunuzi awe makini na muuzaji pia la sivyo ni kulia na kusaga meno..
 
Mimi Kuna mbugila alinifata kwenye inbox ananiita mkuu mara kiongozi.Sikuhangaika kumjibu chochote.wewe hunifahamu halafu unaanza kuniita majina ya kuniweka kwenye vilengeo why.
🀣 🀣 🀣
 
Hiyo hali unayoisema ipo pande zote hata kwa wafanyabiashara kwa njia ya kudelivering wapo majizi pia, kwa hiyo utapeli upo pande zote.

Sisi wa mkoani tunapataje bidhaa zako na mfumo wa malipo unakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…