FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwahiyo wewe umeamini hii story ya Kutunga? Hivi waTz sote tunatumia akili hizi hizi za kichwani au wenzetu mnazo zingine?Thus wanakufa vibaya, karma haiwezi wakwepa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe umeamini hii story ya Kutunga? Hivi waTz sote tunatumia akili hizi hizi za kichwani au wenzetu mnazo zingine?Thus wanakufa vibaya, karma haiwezi wakwepa
Kutunga kwa faida ya naniKwahiyo wewe umeamini hii story ya Kutunga? Hivi waTz sote tunatumia akili hizi hizi za kichwani au wenzetu mnazo zingine?
Mimi sio mlengwa ni mtahadharishajiShomax umeripoti Police?
Anajua aliyetungaKutunga kwa faida ya nani
Hayapo kwenye jamii? Hio voice note, ushahidi wa hizo number nazo za kutunga? Huyo tapeli yupo hewani hadi mda huu na anapokea simu bila wasiwasi si umpigie utupe mrejesho?Anajua aliyetunga
Hakika mkuu umenena Vyemautapeli wa aina hii umeota mizizi mtaani ni janga kubwa mnoo na ni mara chache sana kuskia matapeli wa aina hii kukamatwa na kuchkuliwa hatua za kisheria.
Miamala ya kutumiwa na kutoa chap chap au kutuma kwa mtu mwingne ndan ya dakika 1 tu ndicho wanachojivunia hawa matapeli
Ingekuwa laini za wateja haziruhusiwi kupokea pesa na kuituma au kuitoa ndan ya dakika 1
Yaani pesa ikishaingia kwa mteja ikae angalau dakika 5 ndipo aweze kufanya muamala wa kuitoa au kuituma.
Nafikiri kwa njia hii tungeweza kuzuia miamala mingi ya kitapeli
Mkuu hua hawana hizo akili.Ivi kwanini wakitumiwa izo pesa hewa wasifanye kama wanatoa pesa kuhakiki kama ni kweli katumiwa, alafu ndio sasa amtumie kutoka kwenye pesa aliyotoa[emoji848]
ungempata mtu wa mtandao husika yan mhudumu wa mtandao wa hizo namba mshikishe chochote atrack hizo namba mtapata tu pa kuanziaKama kuna namba wanazohamishia pesa dakika moja baada ya kupokea pesa Ili ziwe nyingi wakatoe maeneo ya mbali, ni rahisi kuwapata, ile laini yenye pesa ambayo wanajua uhifahamu kampuni za simu zinaijua ni kuziblock. Kisha tapeli atapiga simu kampuni husika ataombwa taarifa zake, kisha ataambiwa aende ofisi ya karibu ya kampuni husika Ili kufuatilia suala lake kwann laini yake imefungiwa, sababu Ina pesa ataenda akifika tu kule anadakwa.
..."Anapiga hatua kama mtu anayenunua plot"... 😆😆😆😆!Nimecheka kifala sana waalah.Duuh!.
Ukiachana na yote, tamaa pia huchangia sana. Mtu katumiwa sms ya Tsh 750,000. Tapeli atakachofanya atamuambia nenda ukatume Tsh 700,000, then hiyo 50k utatumia kama usumbufu..
Na anamtahadharisha sana asimuambie mtu yeyote. Wanamkamata mhusika kisaikolojia. Watatumia zaidi ya dakika tano kumfundisha how to handle..
Nakuhakikishia, hata ungemkuta binti kwa wakati huo, ukamuambia unatapeliwa hawezi kukuelewa abadani.
Ukiona hivyo mnyang'anye simu. Maana usipomnyang'anya atampigia tena baadae na kumjaza maneno kibao na hela atatuma tu.
Nina kisa kama hicho kwa Sister wa Kikatoliki. Nafika kwa Wakala (jirani yangu) kupata huduma namuona naye kaja kutuma fedha na vazi lake la kitawa. Lakini, naona anapokea maelekezo kutoka kwingineko.
Wakala akamuomba hela, hakuwa nayo. Akasogea pembeni akamuambia hana. Tukasemezana na wakala kuwa anatapeliwa. Nikamsogelea na kumuambia, sister unatapeliwa huyo achana naye. Wala hata hakunisikiliza. Akawa anaondoka kwa upesi, sikukata tamaa. Namfata kutaka kumuelewesha, anapiga hatua kama za mtu anayenunua plot. Anatanua mpaka misuli inauma. Nikakumbia nikamkamata mkono, sister nakuomba nisikilize, akanitoa mkono kwa nguvu na kuondoka.
Akawahi hostel kuchukua kadi, akaja kutoa fedha akatuma Tsh 1,600,000. Nikamuambia Wakala tuma 160,000 tu.
Baada ya kutumiwa akaondoka.
Baadae anarudi analia. Hata kile kilemba hakimtoshi, kichwa kimekuwa kidogo. Sister alivua, amechanganyikiwa. Nilitamani nimuwambe makofi. Analia kaka yangu nisaidie. Mimi namsaidiaje na hela imetumwa? Imeshaliwa?
Wakala akamrudishia kiasi kilichobaki. Ameshika adabu.
Mkuu,..."Anapiga hatua kama mtu anayenunua plot"... 😆😆😆😆!Nimecheka kifala sana waalah.
AiseeDuuh!.

Alifanyaje?Kuna rafiki yangu alimkomesha tapeli wa mtindo huu kistaa Sana. Alimdanganya kwamba kashafika Kwa wakala lakini network inasumbua Sana!
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Tatizo dhana na uhalisia mara nyingi hutofautiana!Ipo milioni 3 ya haraka mwenye kuweza kunikamatia huyo tapeli anichek private.
Nataka nionane nae live nimuonyeshe yeye ni boya tu ujanja wa kishamba. Nimetangaza dau popote alipo TANZANIA tutafika.
"Kuuzia kesi Polisi" anamaanisha Polisi wadili naye kwa manufaa yao.polisi hawezi deal na kesi ya kipumbavu kama hizo zinazo zinazozalishwa na tamaa yako, utaulizwa tu, "kwanini umtumie pesa mtu ambaye humjui ?" hapo polisi kamaliza
Wahalifu wote uamini wao ni smart kuliko wengine thus uishia 18 za watu.Alifanyaje?
Hata hivyo tapeli kujiexpose ni vigumu sana, ni sawa na Ibilisi Shetani kuvaa sura ya mtu na kujidhihirisha hadharani!
Staili hiyo unatapeliwa kirahisi mno.Ivi kwanini wakitumiwa izo pesa hewa wasifanye kama wanatoa pesa kuhakiki kama ni kweli katumiwa, alafu ndio sasa amtumie kutoka kwenye pesa aliyotoa[emoji848]
Safi.utapeli wa aina hii umeota mizizi mtaani ni janga kubwa mnoo na ni mara chache sana kuskia matapeli wa aina hii kukamatwa na kuchkuliwa hatua za kisheria.
Miamala ya kutumiwa na kutoa chap chap au kutuma kwa mtu mwingne ndan ya dakika 1 tu ndicho wanachojivunia hawa matapeli
Ingekuwa laini za wateja haziruhusiwi kupokea pesa na kuituma au kuitoa ndan ya dakika 1
Yaani pesa ikishaingia kwa mteja ikae angalau dakika 5 ndipo aweze kufanya muamala wa kuitoa au kuituma.
Nafikiri kwa njia hii tungeweza kuzuia miamala mingi ya kitapeli
Ukitaka kuhakiki unaenda kwa wakala kabisa kutoa, kung'uta zote ndiyo utaupata ukweli.Ivi kwanini wakitumiwa izo pesa hewa wasifanye kama wanatoa pesa kuhakiki kama ni kweli katumiwa, alafu ndio sasa amtumie kutoka kwenye pesa aliyotoa[emoji848]