MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Labda ulifiwa na Dadako hongerana juzi tu tumeiba pesa za rambirambi ya ajali ya Arusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ulifiwa na Dadako hongerana juzi tu tumeiba pesa za rambirambi ya ajali ya Arusha.
Hamna sehemu nimeshangilia wizi, nimefanya kushangaa mbona nyie mabwege wa kuliwa na kuibiwa kila siku, mtaamka lini. Mna liinchi likubwa lenye kila kitu lakini maskini wa kutupwa kuleee, hao Wakenya, Wachina, Wazungu n.k. wanaokuja kuchuma nchi yenu hawafanyi hayo yote pekee yao, lazima kuna wazawa wenye nchi wanaoshirikiana nao.
Labda ulifiwa na Dadako hongera
Masikini wakutupwa wapo Kenya
Hizo ni story tu
nyie nchi yenye uchumi mkubwa inakuwaje mtegemee Sukari kwa Masikini!!
Ficheni Upumbavu wenu
Kama unajua kusoma taarifa, rudia tena utaona waliokamatwa wamekamatwa kwa ushirikiano wa usalama kutoka pande zote mbili. Hivyo ina maana ni matapeli ambao wameona fursa ya kuwatafuna maana mumelalia maskio. Kwa taarifa yako, kitakwimu matumizi ya sukari ni mengi Kenya zaidi ya Tanzania, hivyo sukari huku ina thamani na ndio maana hao wanakuja kuwapiga fasta ili wauze Kenya.
kuna mdada mkenya alikuja kwa jirani yetu tunaeishi one compound alituibia hadi chupi kwenye kambaKazi yenu kuibiwa tu, mtaisha jameni maana mnaliwa na kila mtu, Mkenya anawatafuna, Mchina, Msouth Afrika, Mzungu wote wamewapania... Hilo shamba lenu la bibi limebaki mahandaki matupu. Fanyeni hima muamuke maana wenyewe pia ni ovyo mumejaa na vyeti vya kughushi hivyo hata sera hamjui kuzitengeneza na kuzilinda.
Halafu mkiamua kufuata walioghushi vyeti, huwa mnafuata wale wa vyeo vya chini na kuacha akina Bashite eti mawaziri, wakuu wa mikoa na wabunge vigezo vyao ni darasa la saba, yaani darasa la saba ya Tanzania...hadi kicheko jameni, mtaliwa hadi mkome halafu mnaishi kimajungu majungu badala ya kuwa wajanja.
Mwizi hutetea wezindiyo nilifiwa na Dada yangu anaitwa Marion John tumemzika kwa mromboo.
Ukitembelewa na Wakenya 5kuna mdada mkenya alikuja kwa jirani yetu tunaeishi one compound alituibia hadi chupi kwenye kamba
aliiba gauni langu moja zuri kweli yaaniUkitembelewa na Wakenya 5
jua mmoja tu
wengineo wezi
aliiba gauni langu moja zuri kweli yaani
acha kabisa ile gauni nikilikumbuka hadi tumbo linaumaKenya Magauni ni bei kubwa sana
lazima Aibe.
Gauni la 15000 Dar Mombassa ni 35000
Hii technology export. Bahati mbaya haiwekwi kwenye takwimu za taifa za biashara. Ikiwekwa Kenya watatusoma namba.POLITICIANS TURN TO TANZANIAN WITCHDOCTORS TO WIN ELECTIONS
Posted on Feb 28, 2017
Politicians from Migori County are trooping to Tanzania to seek the services of witchdoctors in a bid to win the August elections.
The aspirants for various seats are travelling to Tarime and Mwanza towns to seek intervention of the “seers” ahead of the polls.
A spot check by the Nation revealed that the politicians believe that the witchdoctors can make them beat their opponents in the contests.
“Business is very good whenever Kenyans approach elections. Their aspirants usually come for our services and they pay whatever we tell them,” said Mr Mohammed Yaya, a witchdoctor based in Tarime.
“They fulfil all the requirements and they make payments upfront,” he added.
Aides of various politicians said their bosses seems to trust the “actions” of the witchdoctors.
“We visited one in Mwanza recently and my boss paid Sh150,000 for the service. I was particularly against it but some of our campaign committee members encouraged him to seek the intervention of the witchdoctors,” said the aide who asked not to be named because it might expose his boss.
Migori to Mwanza is a four –hour drive while to Tarime is only 50 minutes away by a car.
The Nation further established that even politicians who are self-confesed Christians are also seeking the help of the witchdoctors. Mr Yaya said their charges are determined by the political post a client is seeking although the rates are negotiable.
Politicians turn to Tanzanian witchdoctors to win elections - Nairobi News
Nimewahi kutembelewa na wakenya Kama mara 3 Sikuwahi kuwahi kuwa na Imani hata kidogo,acha kabisa ile gauni nikilikumbuka hadi tumbo linauma
Unajua kusoma wewe
ukimchukua mkeo,Mamako,Mjomba wako ,Babako,Na mama mkwe wako
Hapo Asiyemwizi ni mmoja pekee
yaani kila wakenya 5 mmoja mwizi!!
Uchumi wenu mkubwa mmeshindwa kujitosheleza na Sukari!!
Unga shida
Maziwa taabu
Mafuta yakupikia mtihani!!!
Unakuja kusema Watanzania Masikini wakutupwa!!
Mtanzani Haishi maisha kama haya kamwe
.What Life is Like for Our Children
Lack basic services such as tap water, toilets, electricity or heat. Many homes lack furniture. The children sleep on folded cardboard.
Parents often lock their children in the home when they leave to find work.
Impossible to keep living spaces clean. No soap or cleaning products and very limited water. Walls and floors are often made of mud or materials such as cardboard. Insects, bugs, rats and mice are common.
Because of the dirt, skin conditions are frequent, especially among young children.
Cooking is done on an open flame; many children suffer burns. This causes indoor air pollution that can lead to respiratory problems, other health issues and death.
No clean water is available. Families are supposed to boil water for 10 minutes, but firewood is expensive.
Rooms are small and many adults and children live in one room.
Contagious diseases including HIV/AIDS and respiratory infections spread easily.
Food is bought as needed. If a family has no money, they don't eat.
Families have no antibiotics, pain relievers or other basic medicines when children fall sick.
Families pile up used clothing for warmth. Blankets, if owned, are thin and dirty.
Nights are dark and scary. Few families have electricity.
A family may have one kerosene lamp that burns for a short time during the evening. Crime rates are high.
Unajua kusoma wewe
ukimchukua mkeo,Mamako,Mjomba wako ,Babako,Na mama mkwe wako
Hapo Asiyemwizi ni mmoja pekee
yaani kila wakenya 5 mmoja mwizi!!
Uchumi wenu mkubwa mmeshindwa kujitosheleza na Sukari!!
Unga shida
Maziwa taabu
Mafuta yakupikia mtihani!!!
Unakuja kusema Watanzania Masikini wakutupwa!!
Mtanzani Haishi maisha kama haya kamwe
.What Life is Like for Our Children
Lack basic services such as tap water, toilets, electricity or heat. Many homes lack furniture. The children sleep on folded cardboard.
Parents often lock their children in the home when they leave to find work.
Impossible to keep living spaces clean. No soap or cleaning products and very limited water. Walls and floors are often made of mud or materials such as cardboard. Insects, bugs, rats and mice are common.
Because of the dirt, skin conditions are frequent, especially among young children.
Cooking is done on an open flame; many children suffer burns. This causes indoor air pollution that can lead to respiratory problems, other health issues and death.
No clean water is available. Families are supposed to boil water for 10 minutes, but firewood is expensive.
Rooms are small and many adults and children live in one room.
Contagious diseases including HIV/AIDS and respiratory infections spread easily.
Food is bought as needed. If a family has no money, they don't eat.
Families have no antibiotics, pain relievers or other basic medicines when children fall sick.
Families pile up used clothing for warmth. Blankets, if owned, are thin and dirty.
Nights are dark and scary. Few families have electricity.
A family may have one kerosene lamp that burns for a short time during the evening. Crime rates are high.
hivi unaibaje nguo ya mtu miaka hii ya 2000 kuna mtumba hadi wa sh mia?Nimewahi kutembelewa na wakenya Kama mara 3 Sikuwahi kuwahi kuwa na Imani hata kidogo,
Nilikuwa makini mwanzo mwisho
Hawa watu wakuogopa sana
wana shida sana ktk maisha yao,
Kenya wanasiasa ndio kila kitu.
Ukifika kwao ningumu kukupeleka nyumbani anapo ishi kama tufanyavyo sie
Kwanza kabisa, crime index hatujawachana mbali, Kenya ipo 6.4% wakati nchi yenu ya 'amani' ipo 6.1% Crime Index by Country 2017
Pili kainchi ketu kadogo kana matumizi ya sukari zaidi ya liinchi lenu hilo likubwa maana tuna viwanda vinavyotegemea sukari zaidi yenu.
kuna mdada mkenya alikuja kwa jirani yetu tunaeishi one compound alituibia hadi chupi kwenye kamba
Huo Mtumba utausema wewehivi unaibaje nguo ya mtu miaka hii ya 2000 kuna mtumba hadi wa sh mia?
Hizo story za makaratasi mimi huwa sifuatilui
Nyie mnauchumi mkubwa
upumbavu mtupu!!
Wakenya wanakufa kama Nguruwe!!
SOMA STORY HII NI MWAKA HUU HUU
Click here to support Feed the Starving in Turkana Africa organized by Jonathan Otto
![]()
Last week I had a friend send me a picture of man that died of starvation. He had an empty water bottle in his hand. I asked him where he got the picture and he said he took it with his phone and that it was along the route home for him back from work. It was literally taken on his phone. It horrified me that this poor man would have suffered so much and that he died, not because of a lack of food, because food is available in this world, and in this country, but it was for lack of love; love in action.
About 3 days later my wife and I booked a ticket to Kenya and I got on the a flight the following day. And I brought my right hand man, filmmaker Eithel Krauss who made the sacrifice to come out to use his gifts to capture what's happening here. My wife, Lori Otto has had the dream to change lives in Africa and this is the fulfillment of that vision. She is a volunteer, and helping to lead this volunteer mission. We have 5 people on the ground volunteering, and Lori is coordinating that effort and the needs of that operation.
Lori is also helping to spearhead the creation of a documentary film, as a producer as she will be coordinating the needs of that endevour. This film will feature the effects of the drought and famine in Africa.
We'll be here a week. I have been consulting with the locals here as to where the most effected regions and individuals are. We will be seeing the work of groups making a difference, as well as documenting the needs to communicate to the world how we can turn the tide in these affected regions. We believe that the use of professional documentary films is the avenue to give a powerful message to the world that will help to change the future for these people.
Over the past few days, to one of the 3 village communities I visited, I asked if they had any cases of people that you fear will die from hunger. They were kind enough to not point to themselves but start pointing to each other. They brought to me 18 women that were skin and bone. The 2 women stretched their arms out to me and said, through my translator, 'feel my arms and my hands. I'm not sick with a disease. I am dying because of starvation. Thank you for your support and the support of your friends, but please assist us more'.
One of these women showed me her belly and her back and I felt so sick in my stomach that I thought I was going to throw up. I've never had that happen like that before. I chose to hold her hands and look into her eyes, instead of turning away, and that sick feeling surfaced and outburst of tears... it was the feeling of crying when I was a young boy. The people are so tough that their response was confusion and bunch of people laughed. They're not used to expressing emotion, and I think that's largely because they have to conceal their emotions so often not to demoralize. (One group I asked when the last time was that they had a meal when they could eat as much as they like, and I expected an answer of some months, and they told me 10 years. Which is another reason why farming is the answer).
Now, for this picture. So, my intention was to make sure that no one is left to starve. So I asked is there anyone you know of that you fear will die very soon? They told us where to go and we drove up the dry river bed a mile or so and found this man within an inch of his life. The people said they fear he could die any day.
In fact the village community we were at an hour before this actually showed me the grave sites of those that had just died within a couple of weeks. One grandmother was holding a baby telling of the death of her daughter. I found out that the famine hit her so hard because she had a 1 week old baby, and was breast feeding, and there wasn't enough nutrition for the both of them. The babies name is Jeremiah. He is 3 weeks old now and being looked after by an old lady, his grandmother, that is in total despair. She cried when talking to me. Of the 5 times I've been here in Africa that was one of the
Mwizi hutetea wezi
Endelea