Matapeli ya Kenya yaiba sukari mpakani

sehemu nayoishi mimi wala huwezi linganisha na yako .hata kama ningeishi pangoni sitakiwi kuibiwa chupi zangu.wewe ulitaka nianike wapi?
 
hyo video niliiona mzee anakula mfupa hadi machozi yalinitoka
 
Uchumi tunao mkubwa zaidi yenu, matatizo ya ukame hukumba nchi nyingi na sio kigezo cha kupima uchumi. Kaskazini ya nchi yetu ni jangwa tupu na wanategemea tunachozalisha kwenye eneo ndogo sana Kusini, lakini zaidi ya yote tunamudu.
Hahaha unachekesha wewe
Kaskazini!! Juzi Tu taarifa kutoka County zote kenya hali ni tete.
Ingia hapo ukachangie
 
sehemu nayoishi mimi wala huwezi linganisha na yako .hata kama ningeishi pangoni sitakiwi kuibiwa chupi zangu.wewe ulitaka nianike wapi?

Silinganishi na yangu, ila ukiishi kwenye vibanda kule vitongojini maisha yanakua ya kuibiwa ibiwa vitu vya ovyo kama chupi.
Ona huku
 
na juzi tu tumeiba pesa za rambirambi ya ajali ya Arusha.
despite your being jf expert made you Only accumulate Age, not Wisdom. Kwenye posts zako huwa hakuna ushirikiano mzuri kati ya vidole vinavyotype na Ubongo.
Hili limehusianaje na hiyo hoja yako?
 
despite your being jf expert made you Only accumulate Age, not Wisdom. Kwenye posts zako huwa hakuna ushirikiano mzuri kati ya vidole vinavyotype na Ubongo.
Hili limehusianaje na hiyo hoja yako?

Hahaha Huy Daudi Mchambuzi Hata ukoo hauna Imani kabisa na kichwa chake
 
Hali
hyo video niliiona mzee anakula mfupa hadi machozi yalinitoka
Hali nitete Ngumi kila kukicha
njaa kali kenya

The dawn attack in Nyeri. Man slashes wife & toddler over unga. - Kenya Talks

post Mon May 15, 2017 11:57 pm

A 24-year-old Nyeri man is in police custody after he allegedly slashed and injured his wife and toddler on Sunday in a row over the price of maize flour.

This came as millers in Rift Valley and western Kenya resolved to reduce flour prices, which have skyrocketed in the past two months beyond the reach of many households.

The dawn attack occurred in the couple's rented house in Ruring'u, Nyeri County.

Mr Wilson Kiguru Kamau is said to have attacked his family with a kitchen knife.

Reports say Mr Kamau accused Ms Mercy Njeri, 28, of spending too much money on maize flour.

STABBED MULTIPLE TIMES

She was stabbed multiple times in the face, neck and head, while the two-year-old boy suffered a deep cut on the forehead.

According to Ms Njeri, who works at a children's daycare centre, trouble started on Saturday night when her husband demanded rent money.
 
Silinganishi na yangu, ila ukiishi kwenye vibanda kule vitongojini maisha yanakua ya kuibiwa ibiwa vitu vya ovyo kama chupi.
Ona huku

Wewe jeuri hii unaitoa wapi wakati unaishi Huruma, Nairobi? Ukiendelea na upuuzi wako humu nitakuweka uchi muda si mrefu. Ebu angalia mitaa yako hapa chini.

despite your being jf expert made you Only accumulate Age, not Wisdom. Kwenye posts zako huwa hakuna ushirikiano mzuri kati ya vidole vinavyotype na Ubongo.
Hili limehusianaje na hiyo hoja yako?
Povu ya nini? Muache atoboe vile nyinyi majizi, mnaiba hata pesa za kuwasaidia waalithiwa wa mikasa!
Yaani mpaka pesa za those cute kids who died in the accident mnapora, mwaka jana kasheshe ilikuwa ni ule uwizj wa pesa za waathiriwa ya earthquake Bukoba.

Nyinyi si wezi wema. Hamna boundary kwa what to steal and not to steal.
 
Taarifa zakipuuzi hufuatiliwa na wapuuzi
akiulizwa ukweli hapa ataanza Kulialia!!
Alete ushahidi wa story zake za udaku.
Sisi tunasema ukweli Wakenya ni wezi
na mlipo nyie 10 basi 8wezi.
Mugabe alisema
Uhuru anajua anaongoza Wezi.
 
Kenya bonge la nchi hakuna shamba la bibi even though tunajua wakenya wanalia kila siku kwa corruption kenya nchi imeoza wakubwa wanapiga deal left and right halafu unasimama hapa na kutueleza kwamba tunaibiwa, kweli nyani haoni kundule unaona kibanzi kwenye jicho langu lakini boliti ya jichoni kwako huioni miafrika ndio tulivyo.
 
Aisei ile ya waathirika wa tetemeko la ardhi ndio nilijua hawa watu ni wezi wenye roho mbaya, ukichanganya na ulaji wa albino.....ovyo kabisa.
 
Ufisadi upo dunia yote, pia Kenya kuna ufisadi, lakini nyie mnaliwa na kila mtu, kuanzia kwa ninyi kutafunana wenyewe. Nchi yenu kubwa yenye raslimali nyingi lakini bado maskini wa kutupwa.
 
Taarifa zakipuuzi hufuatiliwa na wapuuzi
akiulizwa ukweli hapa ataanza Kulialia!!
Alete ushahidi wa story zake za udaku.
Sisi tunasema ukweli Wakenya ni wezi
na mlipo nyie 10 basi 8wezi.
Mugabe alisema
Uhuru anajua anaongoza Wezi.

Unapinga ya kwamba pesa za waathiriwa ya mkasa ye earthquake hamkuiba? Nikupe evidence. Ndio, wakenya ni wezi, hata baba Uhuru alikubali.....lakini sio to that extent.
 
Aisei ile ya waathirika wa tetemeko la ardhi ndio nilijua hawa watu ni wezi wenye roho mbaya, ukichanganya na ulaji wa albino.....ovyo kabisa.

Watu wamekufa, watoto wanebaki mayatima, watu wamekosa shelter jui ya makazi yao kuharkbiwa na earthquake........watu kama hawa ni wa kuporwa jameni? Tena anayefanya hivyo ni msomi tu anafanya kazi kwa ofisi ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…